Chadema tangazeni tenda ya bendera na magwanda kwenye oparesheni vgvg na m4c

njiwamanga

Member
Oct 21, 2010
35
3
Hakika yapo mambo ambayo yanafanyika kwa mbwembwe lakini ukiyaangalia kwa makini yanakosa mashiko.Hii opareshen ni ya kwenye media tu?mbona hatuoni watu wakipewa bendera wanazoomba ili zipeperuke nchi nzima?Au kuna ufisadi na ukiritimba ndani ya CDM wa kutoa bendera na gwanda?
Oparesheni inaitwa VUA GAMBA VAA GWANDA-VGVG lakini mbona sijaona hata mmoja akivikwa gwanda?
Ushauri wangu CDM tangazeni tenda ya kutengeneza gwanda,bendera,skafu,flana,stika nk ili watu wanunue kwa pesa zao kama makao makuu mmeshindwa kusupply kwani kwa sasa demand ni kubwa sana
 
Kwa kweli hasa bendera tunazihitaji sana lakini zimekuwa adimu mno kupatikana.:israel:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom