CHADEMA Mnakosea WAPI na Mtaendelea kukosea IWAPO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Mnakosea WAPI na Mtaendelea kukosea IWAPO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, May 9, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIONGOZI wanapokuwa JUKWAANI hamwandai HOTUBA zenu.Andaeni kwanza hints au dondoo za kile unachokusudia kukisema kabla ya kupanda jukwaani.Toeni SEMINa kwa VIONGOZI na MAKADA wenu wajue mipaka ya mazungumzo yao bila hivyo yale ya NASARI yataendelea.Wtz wameichoka CCM Sana Na sehemu ya kukimbilia kwa sasa ni UPINZANI.Kama ninyi hamtajipanga soon watawakimbia hivyo jipangeni vizuri ili muwe kimbilio la WANANCHI.
   
Loading...