Nape: Wapinzani ni failures! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Wapinzani ni failures!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msendekwa, May 8, 2012.

 1. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nape Nnauye, kupitia taarifa ya habari Chanel 10 anadai wote walioanzisha vyama pinzani wametoka CCM na kwamba walikuwa failures kule(watu walioshindwa kufuata taratibu ndani ya CCM, wamezoea vya kunyonga!)
  Swali kwake:
  Alipoenda kuanzisha CCJ, alikuwa winner?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Achana na vuvuzela hilo, hana sera saizi ni kama kachanganyikiwa. Haelewi kuwa mwanaCCM ni uamuzi kama ulivyo uamuzi wa kuacha na kuanzisha chama cha siasa.
   
 3. R

  Renegade JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Debe tupu aliachi kutika!!!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kiufupi Nape hana agenda.
  Mwambie aongelee kinachoendelea sasa hivi kuhusiana na wimbi la kujivua gamba!
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ni aibu kujadili watu wanaoropoka kama wamechanganyikiwa..
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Oooh!!Kasau kwamba wananchi wote walikuwa ccm kwa kupenda au kulazimishwa. Na sasa machaguo yameongezeka kwa wale waliolazimishwa kwenda wanakotaka.Kama ccm ingekuwa na uwezo wa kibinadamu, ingewatapika kitambo.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,821
  Trophy Points: 280
  Nape is running away like headless chicken.
   
 8. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kwa mantiki isiyopinda basi yeye alifeli kote, maana alishindwa CCM akataka kukimbilia chama fulani akakataliwa ,masharti yake pia akajaribu kuanzisha CCJ ambayo nayo hakuweza. So he is a double failure.

  Lakini pia atoe mfano wa watu walioshindwa kufuata taratibu huko CCM wakaanzisha vyama vingine na sasa wameshindwa kuendeleza kile walichokiamini kuwa kina manufaa kwa Watanzania. Au anaanza kurudia tena jina alilopewa na Heche.
   
 9. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mh! Nepi kweli chama hakina msemaji, hivi kwa nini apewi karipio hata anaposema mambo yanayo kidhalilisha chama au ndo CCM wanaishi kikambare kila mtu ana ndevu hajulikani mtoto wala mkubwa
   
 10. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Achana nae huyo mlopokaji wa magamba. Ipo siku atayalamba matapishi yake. Mi naona anaitamani sana nafasi ya ubunge hata wa kuteuliwa maana anaona kijana Januari Makamba kalamba dume. Sasa inabidi ajipigie debe kwa kuropoka chochote ili amfurahishe JK labda anaweza akaambulia chochote. Anajitafutia uhalali wa kuendelea kuwepo kwa nguvu (looking for political legitimacy) kumbe ndani ya CCM yenyewe hajui kuwa yeye ni reject kwa wazee. Atabaki kuishi kwa matumaini hadi atachakaa. Akija kusituka kujifunika shuka itakuwa tayari ni asubuhi. Ni bora akae kimya, hiyo ndo inaweza kumpa heshima anglau.
   
 11. t

  takeaction Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hivi polisi wako wapi wa kukamata watu kama hawa wachochezi? vyama vya upinzania vipo kisheria? tutaweka kwenye Katiba.
   
 12. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi Nape hajaanza kutambua kwamba mpaka sasa yeye na CCM ni wapinzani????
   
 13. G

  Georgemotika Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani uyo ni vuvuzela ajiulize kwanza wakati Wa ufisadi ulipoanza lowasa alijiuzulu uwaziri mkuu baadae Kamati kuu ya cc ikakaa wakaamua wavue gamba wote waliousika akiwemo rostam ,chenge na lowasa wakimaanisha wajiuzulu nafasi zao zote ukiwa na ubunge rostam akaachia wengine ikashindikana sasa mwulizeni uyu nape (vuvuzela)hawa magamba sta wameongezeka Kama wale Wa kwanza walikuwa wanaua chama na wameshindwa kuwatoa vipi hawa Sita waliomwagwa na rais juzi wateafanyaje yeye na cc Yao je si ndio chama kinaukata na kupoteza dira.
   
 14. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Nape, tunakuruhusu ongea yote yanayokusibu kwani chama kinajichuja mafisadi wanabaki wasafi wanaondoka. Hata wewe utaondoka najua kwa sasa unatimiza tu wajibu.
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nape kumbe bado yupo nasi katika ulingo wa siasa ndani ya nchi hii????? Mie nilidhani kahamia kule NCCR Mageuzi kumuongezea nguvu yule 'kijana' wao.
   
 16. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nape ndio nani hapa Tanganyika?
   
 17. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Well said, wape wape hao vilaza vidonge vyao. Leo nimeamini kwa mara nyingine kuwa Nape mwana wa Nnauye ni jembe.."WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 18. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi nikajua kuwa mnamjadili mtu mwenye akili timamu....kumbe Nape....!!!
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Amefufuka tena??tehetehe!vuvuzelaaa!vuuuuu!
   
 20. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Sijaona makosa kwenye maneno yake. As far as CCM is concerned, taratibu za CHAMA NI RUSHWA, rejea kauli za Katibu mkuu wao Bw. Mangula alivyosema baada ya kushindwa kwenye chaguzi zao za ndani...

  NAPE YUKO SAHIHI, CHAMA CHENYE TARATIBU ZA RUSHWA HATUKIWEZI!
   
Loading...