KWA HILI Mh. KANDORO (Mkuu wa mkoa wa Mbeya) UMEKOSEA........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA HILI Mh. KANDORO (Mkuu wa mkoa wa Mbeya) UMEKOSEA...........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipenga, May 9, 2012.

 1. kipenga

  kipenga Senior Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Baada ya kutokea vuruguvu eneo la Mbeya mjini tar 4/11 mwaka jana uliohusisha wafanya biashara ndogondogo(wamachinga)
  kulikuwa na waathilika wengi mmojawapo ni ndugu Moses Mwakalukwa alipigwa risasi na polisi sikun ya vurugu hizo. Muhanga huyu ambaye bado anauguza mguu wake, juzi alitembelewa na mbunge wake Mh.Joseph Mbilinyi (Mr.II) na kuweza kumpatia sh 250,000/= kwaajili ya matibabu hospitali ya peramiho wilayani Mbinga, muhanga huyu alitoa shukrani za dhati kwa Mbunge wake, Ndipo akasema wazi kuwa baada ya kupigwa risasi kwenye vurugu hizo alilazwa katiks hospitali ya mbeya ambako alitembelewa na mkuu wa mkoa wake (Mbeya)Mh. Abbas Kandoro nakuahidi serikari itamsaidia ghalama za matibabu hata hivyo hajatimiza ahadi hiyo na kusema kuwa hakutoa ahadi hiyo na kuongeza kuwa wakati tukio hilo linatokea yeye alikuwa ni mgeni na hakumbuki kama aliahidi ahadi hiyo. kandoro alishauli kuwa kama kijana anaitaji mssada kutoka serikarini aandike barua na serikari itafuatilia tukio hilo na kumsaidia...

  MAONI YANGU:
  HONGERA SANA NDUGU MBUGE (MR II)
  KWAKO MKUU WA MKOA MBEYA : sidhani kama jombo hili linaitaji process ndefu za kiserikari ni jambo la kujitolea tu kama binadam na kiongozi wa eneo hilo, pia haliitaji pesa nyingi hadi iombwe serikari.

  Source IPPMEDIA (NIPASHE)

  NAWASILISHA
   
Loading...