Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye mjadala wa tuongee asubuhi uliorushwa na kituo cha runinga cha startv uliokuwa na kichwa "Maazimio ya nec ccm kuelekea 2015" Nape Nauye ameitaja Chadema mara 57 ndani ya saa 1 kwenye hoja...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Source ITV habari. Tanzania imewakaribisha wakulima wa kikaburu toka Afrika Kusini waje kulima nchini kwa mgongo wa uwekezaji katika kilimo kwanza. Sasa watapewa ardhi ya nani tungojee tuone...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila leo sijapata jibu na sidhani kama nitapata jibu,gharama za maisha yanazidi kupanda kila kukicha. Hivi wananchi wenzangu ni haki kuuziwa nguzo ya umeme shilingi 1.5 milion na huna haki...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Send to a friend Sunday, 20 May 2012 11:05 MABALOZI WAGOMA KUCHUKUA FOMU KUOMBA UONGOZI, WASOMI WAIONYA Na Waandishi wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemaliza uchaguzi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Loe tarehe 20 May, 2012 Mbunge wa Karatu Mhe. Mchg. Israel Y. Natse katika Kampeni ya Kuvua gamba na kuvaa magwanda ameavua gamba mabalozi 20 wa CCM na kuwa ingiza katika Chadema wanachama wapya...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
After ditching luxurious Landcruisers, isn’t time the nation considered a lean government and an affordable Parliament amid the country’s shaky economy? Whether measured by the total number...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajf,ni harakati za vua gamba vaa gwanda zinazo endelea katika vijiji vya wilaya ya mbozi mashariki ,za itikisa ccm ktk wilaya hiyo kiasi cha kuanza kutapatapa na hasa kutokana na diwani...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Utangulizi. Leo nataka kuzungumzia Chama kilichokuwa na nguvu sana miaka iliyopita(sana sana miaka ya 1995-2000) nacho si kingine bali ni CUF.CUF Kilikuwa chama chenye nguvu sana na kilichopendwa...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Naye Mbunge Nassari, aliwataka wananchi wa jimbo hilo ambao kwa sasa wako katika harakati za kupigania kurejeshewa ardhi, kuwa na maono (vision) juu ya matumizi yake ili kuepuka kuja kuiuza kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi kubwa la vijana wote wa sekondari, msingi na chekechea kupenda CHADEMA, namshauri nape aanzishe mikoa ya chama ili kunusuru kifo cha ccm. Jamani si utani pitia darasa la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The Observer, Sunday 20 May 2012 Fred Pearce: Land grabbing has more of an impact on the world's poor than climate change The science and environment author discusses a growing global threat...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Mpiga kampeni maarufu wa CCM nyakati za Uchaguzi anaye julikana kwa jina la Mama Ashura wa hapa Temeke Kilikala amesema ni njaa tuu inayowafanya wakipigie kampeni CCM nyakati za uchaguzi, kauli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh January Makamba mbunge wa Bumbuli (CCM) amepanga kuwasilisha hoja binafsi bungeni kuhusu upangaji wa nyumba, jinsi gani wapangaji wanavyopata wakati mgumu, kiasi gani madalali wamekuwa chanzo...
5 Reactions
122 Replies
12K Views
Hivi mipora nchi na mijizi ya mali za watanzania mifisi-adi ndo ilishatetewa kwamba ikikamatwa nchi itayumba? Hivi hizi fikra za kulindana tulizipata wapi? Kama Tz iliweza pigana na nchi ya nini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za mrengo wa ubaguzi,udini na unafiki.Hapa kwetu Tanzania nina ushahidi mmoja kwanza,nao ni ubaguzi wa waziwazi unaofanywa na CCM dhidi ya watu wa kaskazini.kwamba...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
CHAKUJIULIZA WANA WA ZANZIBAR JEE BAADA YA KULIVAA HILI JINDAMIZI LA MUUNGANO ZANZIBAR IMEPIGA HATUA MBELE AU HATUA NYUMA? Kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha kuwa Zanzibar kabla ya kuungana na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
na Danson Kaijage, Mtera WANANCHI wa kijiji cha Igunguli, kata ya Loje, wilayani Chamwino, mkoani Dodoma, wamemshukia mbunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kwa kushindwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema. a)Wabaguzi b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa Thanks
0 Reactions
67 Replies
5K Views
NA GLADNESS MUSHI WA FULLSHANGWE-MERU MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki Bw Joshua Nassari amesema kuwa yeye hataki mambo ya kifahari katika jimbo lake bali anaitaji kuwepo na mikakati...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baba wa taifa alionya kuwa ipo siku ccm chama hiki hiki kilicho cha wakulima kitakuwa cha matajiri wachache tusipokuwa makini kuwadhibiti. Alisema naona anguko la ccm likisababishwa na matajiri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…