Wazanzibari wasema Muungano umewadhoofisha na kuwatia ufukara, ni bora maisha ya nyuma kuliko ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari wasema Muungano umewadhoofisha na kuwatia ufukara, ni bora maisha ya nyuma kuliko ya leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 19, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  CHAKUJIULIZA WANA WA ZANZIBAR JEE BAADA YA KULIVAA HILI JINDAMIZI LA MUUNGANO ZANZIBAR IMEPIGA HATUA MBELE AU HATUA NYUMA?

  Kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha kuwa Zanzibar kabla ya kuungana na Tanganyika ilikuwa mstari wa mbele kimaendeleo, si tu ukilinganisha na Tanganyika ya wakati huo, bali katika mwambao mzima wa Afrika Mashariki. Ilimiliki Currency yake mwenyewe, T.V ya rangi, viwanda vya Sukari, Reli, Viwanda vya mafuta na manukato, nyumba za kisasa kwa wananchi wake, barabara na mataa warawara, maji safi, umeme wa uhakika, n.k . Baadae mambo haya yote yakakongeshwa na kuharibiwa na jini la mdimu (Muungano).

  Sasa swali linakuja hii imetokea Accidentally kuwa Zanzibar kila siku zinavyokwenda kwa kuwa kwake katika Muungano huu ndio inavyozidi kuporomoka kiuchumi, kiutamaduni na pia kimaadili, au mambo haya yalipagwa na kukadiriwa na vigogo wa Muungano? Kwa mtazamo wangu binafsi hili jinamizi la Muungano linapswa kupungwa na kutoka vichwani mwetu, mimi sipendi hata kidogo kuona kizazi kinachokuja kinasikia harufu la hili baa la Muungano.

  Kwa kweli kama jungu limepikwa na J.K Nyerere akisaidiwa na top Church members basi wajuwe kuwa muda umefika dude hili hatulitaki, na shari za dude hili ziwarudie hao waliolipika na walipakuwe na wale wenyewe.
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  utamaduni wa mzanzibar ni upi? Naamini uislamu si wao
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,745
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  Kakke,

  ..uchumi wa Znz umeporomoka baada ya kupungua kwa uzalishaji wa zao la karafuu.

  ..pia population yenu imeongezeka, bila kuongezeka kwa uzalishaji na mapato ya serikali yenu.

  NB:

  ..hata huku Tanganyika kuna wanaodai miaka ya 60 na 70 kulikuwa na hali nzuri ya maisha kuliko sasa hivi. je na sisi tuna haki ya kulaumu muungano??
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wengi ni wapiga domo na sio wachakarikaji. Wanaamini hata yasiyoaminika. Kuna mjanja anataka kuwafix baada ya kuvunja muungano. Watchout you will see...
   
 5. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  wanzanzibari wanadai muungano ndio ulioleta popobawa kwa hiyo hawautaki.ha ha haaa!
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeah, Juzi tu wamesamehewa Umeme wa sh. 50billion sasa kama ingekuwa ni Umeme wa kununua wangefika kweli?

  Wajaribu kuwauliza Jirani zao big mouth Kenyan's baharini hakuna Gas, Petroli waliyoipata sio commercial ina maana

  sio nyingi kuweza kuuza nje ya nchi ni kama wakati tulivyo pata ya SongoSongo haikuwa Commercial
   
 7. a

  abu alfauzaan Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyakageni,
  utamudini wa wazanzibar ndo uwo uwo unaojulikanwa na weng duniani uliotafautiana kwa asilimia kubwa na utamaduni wa watanganyika,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  shule yao ndogo
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  huo si wa asili. Napenda unijulishe kabla ya ukoloni. Ukristo na uislamu ni mazao ya ukoloni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  colonial mentality hiyo mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  Mch Kasimbazi Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri kuwang'gang'ania wazanzibari kwa nguvu si suluhisho la kudumu la amani. Kila mara watafikiri kuna maslahi ya siri bara inayopata zaidi ya faida za umoja na mshikamano. Hivyo wapewe uhuru wa kuamua wanachoona ni bora. Hii ndiyo demokrasia ya kweli.
   
 12. k

  kajima JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 864
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Suluhisho ni serikali tatu halafu tutajua ukweli
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  nimefuatilia muziki wa vikundi vya kizenj nao wanaimba ujinga na matusi. Hata taarab ilikUwa hivyo kabla ya kuwa modernized
   
 14. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi nyie wa znz mna akili za tope! Naombeni muendelee kusubiri siku tutakapopata Rais kichaa awape masaa 48 muwe mmeondoka bara wote ndiyo mtajua kwa kwenda kukaa. Acheni upuuzi wenu huo
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red bado sijaelewa. Ina maana kuna mtu alitoka Tanganyika (physically) akaenda Zanzibar kubadilisha TV ya rangi ikawa black & white, au akangoa mitambo kwenye viwanda, au akavunya nyumba za kisasa walizokuwa wanakaa wananchi or what?

  Na kuhusu taa za barabarani, haziwaki au shida ni nini? Mwezi ulipita Zanzibar wamefutiwa deni la Tshs 50 bilion na TANESCO mnataka nini tena?

  Kuna jambo moja ambalo mara nyingi watu wanaruka kusema. Mikopo inayotelewa Tanzania, Zanzibar wanapata 4.5% lakini kwenye kulipa madeni Zanzibar hailipi!

  Ni vizuri huu muungano ujadiliwe, kama ni kuvunja tuvunje, na kama ni kuusuka upya tuwe pasu pasu kwenye mambo ya muungano. Kila jambo la muuungano gharama zitoke pande mbili sawa kwa sawa. Kwa mfano, bajeti za wizara za muungano i.e mambo ya ndani, au ulinzi kila upande uchangie 50%.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Utamaduni wa kila Muislaam ni Uislaam.
   
 17. a

  abu alfauzaan Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyakageni
  utamaduni wa waznzbar ni mchanganyiko,africans+asian+portugues+europe+uislam=ndio utamaduni wa wazanzbr ambao umewafanya watafautiane na watanganyika.
  wakoloni jst wamekuja kuongezea 2,at wamewakuta wazanzibar na mila zao na ustarabu wao,
  tena ufahamu kua jamii ya mwanzo kustaarabika afrika masharik na kati including tanganyika ni jamii hii ya kizanzibar
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,745
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  abu,

  ..katika hao Uafrika basi wa-Tanganyika tumo.

  ..damu ya Kiafrika/Kitanganyika iko very dominant miongoni mwa wa-Zanzibari.

  ..ukiangalia mikutano ya uamsho wananchi wengi wanafanana na Watanganyika zaidi kuliko Waarabu,Wahindi, au Waportugizi.
   
 19. a

  abu alfauzaan Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  joka kuu,
  wanafanana na watanganyika,wakenya,wauganda,wakongo,afrika magharibi,wasomali,wamalawi,wasudani,ethiopia,ruanda,na wabantu wote,lakini wao si watanganyika,wao ni wazanzibar ilo ulifaham,na ndio maana wakatofautiana na watanganyika kiutamaduni kwa sababu wao ni wazanzibar,upo apo!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  wapo waZnz wenye akili zao ni wakirsto...sio kila mzenj ni muhamadan.
   
Loading...