Oparetion ya vua gamba vaa gwanda yaitikisa wilaya mbozi

Msf

Member
Nov 24, 2011
17
7
Habari wanajf,ni harakati za vua gamba vaa gwanda zinazo endelea katika vijiji vya wilaya ya mbozi mashariki ,za itikisa ccm ktk wilaya hiyo kiasi cha kuanza kutapatapa na hasa kutokana na diwani mstaafu aliyejiunga na chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika tar 18/5/2012 ktk kata ya Ihanda ambapo uwanja ,barabara zilifurika watu .pamoja na propaganda za wenyevit kuwatisha wananchi wasihudhurie kwenye mkutano huo kwamba wangekamatwa na polis kwa kisingizio kwamba chadema hawana kibali cha kufanya huo mkutano ktk eneo la ihanda ,mh.huyo mstaafu alikuwa na nyadhifa mbalimbali ndani ya ccm kabla ya kustaafu kama ukatibu wa kuteuliwa toka dodoma miaka 10,utendaji kata zaid ya miaka kumi,udiwan miaka 15 na ndo diwani mwanzilishi wa kata hiyo ,mlezi/kada wa kata ya majengo,sogea, na tukuyu ktk hicho alichokihama baada ya kukitumikia kwa zaidi ya miaka 35 kwa maadili mema, huku wengine wakijineemesha na raslimali za wananchi kwa kununua magari na mali zingine wakat yeye hana ata baiskel kwa hofu ya kukiuka maadili waliokuwa wameachiwa na mwl.Nyerere. pia kuna viongozi wa ngazi ya kata ccm wapo ,mbioni kukihama chama hicho kwani tayari wamesha chukua kad za chadema kwa mw/kit kata ya ihanda bwana Fadhili Mwaya Shombe amethibitisha suala hilo kinachosubiliwa ni kuandaa mkutano wa hadhara na kuwatambulisha kwa wanachama na wananchi kwa ujumla wao .zoezi hilo la kumtambulisha mh.diwani mstaafu ndug TENSON SELUKA MWASHIUYA lilifanyika ktk kata hiyo mbele ya uongozi wa jimbo la mbozi mashariki ukiongozwa na m/kit ndg Elias kilindu na mwenyeji wake uongozi wa kata ukiongozwa na m/kit ndg Fadhili Mwaya Shombe .

Hata hivyo m/kit wa kata hiyo ametoa angailizo juu ya tetesi za ccm wilaya kuja kumchafua diwani huyo km kisasi cha maovu yao kuanikwa hadharani na viongoz chadema ikiwemo diwani wa sasa ccm kuwekwa mahabusu kwa kosa la kutapel milioni 2 na ndg SHUSA PUNTE [katibu kata ccm] kuishi kwenye nyumba ya serikali zaidi ya miaka 6 bila kulipa kodi ya pango huku walimu,wauguz,bwana shamba na watendaji wakikosa mahala pa kujisitiri kwa kukosa makazi ya kuishi.

kwani hata ivo amepewa masaa 336 au wiki 2 awe amehama ktk nyumba ya wavuja jasho wa kata ya ihanda laa sivyo wajiandae aibu ya kuburuzwa kortini. diwa mwenyekiti.JPG [1] umati ihanda.JPG [2] matukio ihanda.JPG [3] diwani akabiziwa kad.JPG [4] diwani kadi cdm.JPG [5] mwenyekit diwani.JPG [6]

[1]Kamanda Abrahamu Msyete akimtamtamlisha diwan mstaafu kwa wananchi kuuthibitishia umma kuwa hayupo tena ccm

[2]wananchi wa Ihanda wakisikiliza hotuba za viongozi wa CHADEMA kwa makini

[3]wananchi wakishuhudiwa na viongozi wa cdm namna fedha zao zinavyotumika vibaya na viongozi wa ccm

[4]Ndg Msyete amkabidhi rasmi kadi ya chadema ndg TENSON MWASHIUYA [diwan mstaafu toka ccm]

[5]Ndg TENSON MWASHIUYA akifurahia kupokea kadi ya cdm

[6]Diwani mstaafu aliyehamia cdm akiwa ameketi na mw/kit wake wa kata ihanda CHADEMA Ndg FADHILI MWAYA SHOMBE

 
Na bado. Huo ni upepo. wasubiri kimbunga. si wanadai ni upepo?? baada ya upepo ni kimbunga. Na huyo kubwa jinga wasirra anayeday kuwa CDM itasambaratika ataanza kusambaratika yeye kabla ya CDM. c wakati wa kutishana hii anafikiri hilo lijisura lake ni kila mtu analiogopa??
 
Back
Top Bottom