Katu sitounga mkono CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katu sitounga mkono CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, May 19, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
  a)Wabaguzi
  b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
  c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
  Thanks
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kunguru Mweusi ha..ha unategea nini hapo, na CDM haihitaji KUNGURU MWEUSI kama ww.
   
 3. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kunguru mweusi wewe.
   
 4. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,283
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Who cares!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Comment removed by mods
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wala hakuna anayekutaka utuunge mkono. Tunao wengi wanaoridhishwa na utendaji wetu. Lakini uwepo wako ni mhimu kwetu maana utakuwa mpinzani wetu mwaka 2015. Na utasaidia kuterekebisha tunapokosea. Na hivyo kutusaidia kufanya vizuri zaidi.
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kaka kunguru mweusi umeungana na mimi siiungi mkono chadema kwa kuendelea kuilea ccm.
  siiungi mkono kwa kukubali kuibiwa ilani yao ya katiba mpya.
  siiungi mkono kwa kukubali rais kukanyaga katiba kwa kuteua viongozi wa wizara kinyume na katiba.
  siiungi mkono kwa kumchekea shibuda.
  siiungi mkono kwa kunyamazia twiga kupanda ndege wakati kuna madiwani wa ccm ndege wanaisikia kwenye redio
  siiungi mkono kwa kukubali ccm kuacha ilani yao na kuanza kutekewleza ulani ya chadema kabla ya 2015.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo tukusaidie nini?
   
 9. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 20,119
  Likes Received: 9,997
  Trophy Points: 280

  Usipotuunga wewe mkono, atatuunga BABA AKO na MAMA'AKO, isitoshe demu wako anazikubali sana swaga za Mr.Sugu
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo? Poyoyo wewe
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Tena kwa kuongezea ni wapotofu na hawana uadilifu kabisa, na wala nyama mbichi za watu, sikio Mwanza.
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,595
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Watu dizaini hii huwa wana akili ya maiti! Wapo na wataendelea kuwepo ukitaka kumfahamu vizuri fungua jukwaa la katiba utamwona.
   
 13. M

  Masabaja Senior Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri CDM wakikubali kuungwa mkono na mgonjwa wa fikra kama wewe ni kuongeza matatizo ni bora usije ili kuwa na ahueni kaa na mawazo potofu na njaa ukifikiri watanzania leo bado wako na maskini wa **** kama wewe. Jipime na utafakari maneno yako na uwezo wako ili ujue leo watu wanataka nini, shauri yako ukifikiri kula pilau kwa CCM ndiyo neema kwako, pilau ya siku moja mateso miaka mitano utasema unawaza?
   
 14. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,601
  Likes Received: 4,649
  Trophy Points: 280
  Sawa, hauko peke yako...wezi, mafisadi, wala rushwa, wanafiki, wauaji, walafi na mazezeta maelfu kadhaa wako nyuma yako wanakupa support. Sisi wengine tunakutakieni tu safari njema huko mnakoelekea wote msiopenda maisha bora!
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Haujalazimishwa kuunga mkono CHADEMA; Kama Umekiona ni chama cha kibaguzi lakini kina wabunge pande zote lakini hakija mdhulumu Mwananchi Mlipa kodi haki yake kwa kujilimbikizia mali kwa viongozi ndani ya chama kibinafsi kama CCM

  Unaziba Macho kwenye Wizi na Kudhulumu wewe unakamulia macho tamko za CCM za kiubaguzi kuwa CHADEMA ni cha kibaguzi lakini hauwezi kuthibitisha hayo.

  Unafuata Upepo kama bendera
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  sina imani na chadema kabisa
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda kaokote takataka jalalani, km jina lako lilivyo. M4C! Lazima isambaratishe CCM. Vua gamba vaa gwanda!
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,327
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  "Vibuda" vipo vingi sana kumbe! CDM wawe makini na "vibuda" vya ndani na nje ya chama.
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Sijaelewa ni kwanini CCM wanapenda sana kusema CDM ni wanaharakati? Kwani wanaharati wana kasoro gani? Au uana-harakati ni haramu kwenye siasa? kama ndiyo kwa vipi, na kwanini usipigwe marufuku?
   
 20. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kabla cjayatoa yaliyopo moyoni hebu nipe tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati !
   
Loading...