Ni njaa tuu inayofanya tuipigie kampeni CCM nyakati za uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni njaa tuu inayofanya tuipigie kampeni CCM nyakati za uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, May 21, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mpiga kampeni maarufu wa CCM nyakati za Uchaguzi anaye julikana kwa jina la Mama Ashura wa hapa Temeke Kilikala amesema ni njaa tuu inayowafanya wakipigie kampeni CCM nyakati za uchaguzi, kauli hiyo aliitoa wakati alipokuwa akisikikitishwa na upandaji wa bei wa bidhaa muhimu, ndipo alipogeuka na kulaani CCM.

  Hali hiyo ilimfanya muuza duka kumuliza" si wewe mwenyewe Mama Ashura wakati wa uchaguzi ulikuwa unakipigia debe kulikoni sasa unalaani" ndipo aliposema kuwa ilikuwa njaa tuu kukipigia kwa vile alikosa kazi ya kufanya ambayo ingempa fedha. Ndipo muuza duka alipomwambia kuwa zile fadha mwenzetu ulichokuwa sasa umerudisha mara mia na kutufanya wote tuteseke.

  Nami kwa vile nilikuwa jirani niliaanza kutoa elimu ya uraia kuwa " CCM haina miguu,masikio, mdomo wala mikono kwa wakati ule wa kampeni wewe ulikuwa mikono,miguu, masikio na mdomo wa CCM hivyo na wewe CCM hivyo unapaswa kujilaani mwenyewe"
  Mama Ashura alijibu Nimejifunza.

  MTAZAMO: CCM INATUMIA UMASKINI WA MTANZANIA KAMA DILI HASI KISIASA, kwa namna nyigine CCM ni rafiki wa UMASKINI, UJINGA na MARADHI.   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni Kilakala au kilikala!
  Kama wameligundua ilo ni jambo jema!
   
 3. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,671
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  Hilo linajulikana tangu zaman na ndiyo maana hawatoi elimu ya uraia,
  Hebu ona upumbavu huu serikali ndoo ina kauli ya mwisho na sio wananchi!
   
Loading...