Mbunge wa Jimbo la Karatu awavua gamba mabalozi wa CCM - kambi ya Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Jimbo la Karatu awavua gamba mabalozi wa CCM - kambi ya Simba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MZEE WA KARATU, May 20, 2012.

 1. M

  MZEE WA KARATU Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loe tarehe 20 May, 2012 Mbunge wa Karatu Mhe. Mchg. Israel Y. Natse katika Kampeni ya Kuvua gamba na kuvaa magwanda ameavua gamba mabalozi 20 wa CCM na kuwa ingiza katika Chadema wanachama wapya zaidi ya 620. Kadi ziligawiwa hadi giza kwa ajili msururu ya watu kuwa wengi. Makamanda wa maeneo yote katika Nchi tusake ukombozi wa Wananchi kwa kufuta historia ya CCM katika nchi yetu.
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  M4C!!! Safi sana! Hadi kufikia 2014 Wengi watakuwa wameelimika na kuvua magamba kwa wingi zaidi
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkuu 'mbubge' ndio kitu gani?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Hicho kijiji nakipata sana ndo kule inalimwa Ngano na kuna Baridi kama Siberia Urusi, big up
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  It really warms my heart!
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimefarika sana .
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu maana inaonekana ujumbe huu umekubinya korodani! Kama vipi potezea tu. Otherwise kwenye key-board "n" na "b" zimeegemeana so mtu yeyote mwenye akili ya wastani na aliyewahi kutumia komyuta au taipuraita anatarajia ni normal and expected typing error.
   
 8. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  UONGO MTUPU!
  wataje kwa majina na Mashina wanayotoka.

  Watanzania wameshajua njia yenu ya kuwadanganya kwa kupika Takwimu.
  Hiyo imejulikana tafuteni nyingine, jibu na swali langu hapo juu.
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  "Mkibakwa msioge ili msipoteze ushahidi"
  watanzania mmeambiwa!!!!
   
 10. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nape akiongea leo Star Tv asubuhi alisema hadi sasa waliohamia chadema wakitokea ccm wakiwa na nyadhifa za uongozi hawazidi 6. Huu nao ni upepo tu utapita!!!!!
   
 11. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima wataelewa tu japo nape anasema si wengi wanakuja CDM but hata yeye yumo hajui tu
   
 12. e

  ebrah JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kihistiria huwa uprooted unapita but huu wataushangaa walisema hivyo before uchaguzi 2005, wakakiona 2005 -2001 wakasema tena na mtabiri wao yahaya akatitabiria kidogo matokeo yake akafa Yahweh, na CDM tukazidi kupakata juu na vitu vya ubunge. Viliongezeka, nakumbuka dr. Silaa alopokubali matokeo ya ya uchaguzi 2010 alisema now wameiba lakini ndo tutayembea Nyumba kwa Nyumba kuwa fundiaha na kuwaonyesha ways umuhimu wa Judaism Haki zao, na ndo kinachoendelea! Non stop 2010 hadi tunafika 20115 eliminate itakuwa Umefika na kweli wanaojua. Na mabadiliko tunayoyaona tutendelea kuyaina hadi tutakapoikomboa nchi hii!!
   
 13. B

  Bubona JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Let the struggle continue, and its fruits will feed even those who dishonor it!!!!
   
 14. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kidogo spelling ina kushinda au hujazoea kutumia key boarb?
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa mzee wasira yeye mwenzenu anaona tofauti.........anasema ndani ya mwaka mmoja CDM itakuwa imekufaaaaa
   
 16. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mmh!! Hii imekaa ki-Nape Nape vile, anyway, endeleeni kuamini hivyo na pumzikeni kwa raha mustarehe kwenye keyboard zenu huku mkikalia viti vya kuzunguka.
   
 17. m

  maswitule JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Heko CDM hakika wa TZ wenye kuipenda nchi tupo na nyie. tunajua wapo wachache wanaounga mkono magamba kwa manufaa yao binafsi lakini hakuna marefu yasiyokuwa na ncha CCM byee byee byee!
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ukombozi wa taifa hili utaletwa na watu walio tayari kupambana na wasiokubali kununuliwa kwa namna yoyote ile. viva CHADEMA!!
   
Loading...