Serikali bomu

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Kila leo sijapata jibu na sidhani kama nitapata jibu,gharama za maisha yanazidi kupanda kila kukicha.

Hivi wananchi wenzangu ni haki kuuziwa nguzo ya umeme shilingi 1.5 milion na huna haki nayo,je kuna sababu iliyoifanya serikali ya tanzania kubinafsisha shamba la nguzo,mda huu tukihitaji nguzo tunaaziza kutokea kenya je! hii ni haki?matunda tunalima sisi yanaenda kusindikwa kenya na kurudishwa huku je kauli mbiu ya kilimo kwanza imedhamiria kumwunua mkulima wa tanzania?kiwanda cha tanalec kimepewa mkenya sie hatuna uwezo wa kutengeneza tena transforma hadi tuagize toka kenya je ajira milioni zimepatikana au zimepotea?sera ya ubinafsishaji inaleta mafanikio kwa watanzania au la, je viongozi wa serikali wanautendaji uliotukuka au la? Je tanzania ya wananchi milioni 50 haiwahusu hawa viongozi?
 
Back
Top Bottom