NAPE: CCM anzisheni mikoa ya CCM kwa sekondari,primari na chekechea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE: CCM anzisheni mikoa ya CCM kwa sekondari,primari na chekechea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Welu, May 20, 2012.

 1. W

  Welu JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Kutokana na wimbi kubwa la vijana wote wa sekondari, msingi na chekechea kupenda CHADEMA, namshauri nape aanzishe mikoa ya chama ili kunusuru kifo cha ccm. Jamani si utani pitia darasa la chekechea uliza watoto nani cdm watanyosha wote mikono na ukiuliza nani ccm mtoto ikatokea akanyosha kw bahati mbaya atazomewa oooooooo! Oooooo! miji uyooooo (mwizi).
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  TANGU LINI NAPE AKAWA KIONGOZI SIKU ZOTE NI KUDANDIA MABISHANO NA CHADEMA KWAKE CCM KUNAWAKA MOTO HAONI MAONI YA WAZEE WENYE BUSARA AKINA KADUMA,APIYO MAKAMBA LOWASA WARIOBA NA WENGINE WENGI YEYE KILA KUKICHA SLAA MYIKA ZITO HANA JIPYA HUYO NI VUVUZELA:lol:
   
 3. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  too late (wamechelewa) wajitialishe kwenda segerea.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hizo gharama na pesa za kuanzisha zinapatikana toka wapi? Kumbuka CAG ipo sasa na Utawala sio wa Chama Kimoja
   
 5. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waanzishe mikoa ya bar maids na house girls manake na ni wengi hapa tz, wanaweza wakatoka.
   
 6. Ndekirhepva

  Ndekirhepva JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  piga window chini, weka windo mupya na maisha yanasonga kama kawa
   
 7. k

  kaguru Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wameshatokota kisiasa hao chi chiem hawana lao,tumechoka tunataka mabadilikooooooooo jamani!!!!!!!
   
Loading...