Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je, vipaombele vyetu kama taifa viko wapi? Kwa nchi kama Tanzania je, ni muhimu kuwa na vazi la Taifa leo? 1. Badala ya kuunda tume ya kusaidia wakulima wa Pamba ili pamba yao iwe katika kiwango...
0 Reactions
237 Replies
20K Views
Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
kama tunalipa wabunge sitting allowance basi trafiki na walimu walipwe standing allowance
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Najua MAGAMBA watashituka.LAKINI UKWELI NDO HUO.KWA WALE WENYE NIA YA DHATI KAMA YANGU WASIOGOPE WAKINISHINDA KULA ZA MAONI NITAWAUNGA MKONO.NIKIWASHINDA MIE WANIUNGE MKONO. SHIME SHIME...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Matembezi ya amani Zanzibar (habari yote)Written by abdi // 26/05/2012 // Habari // 7 Comments Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maazimisho ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania yametuacha na changamoto nyingi ambazo tusipokuwa makini inabidi Amiri jeshi mkuu wa Majeshi yetu ya ulinzi na usalama na mkuu wa nchi aitishe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge machachari Zitto, Msigwa, L. Nyerere na wengine watakuwa maryland USA kesho kuzindua M4C kwa Watz waishio USA. watauza kazi za chama na kuzungumzia maswala ya katiba mpya, uchumi nk...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Zifuatazo ni juhudi zimezofanywa na serikali hii ya awamu ya nne chini ya Rais shupavu Mh.Jakaya Kikwete katika kuleta mapinduzi ya kilimo Tanzania. Lengo la kwanza: Kuweka misingi ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Sisi sote ni mashuhuda wa historia ya nchi hii kwa kumbukumbu mbalimbali ambazo leo hii zimekuwa kama hekaya kwa vizazi vijavyo.Hali ya uchumi na mfumuko wa bei ukiendelea kushika kasi huku...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
CCM wana siri nzito mabadiliko ya Katiba Saturday, 26 May 2012 09:28 Fidelis Butahe Mwananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kina siri nzito kuhusu mapendekezo yake katika mchakato...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Matembezi ya amani Zanzibar Written by abdi | 26/05/2012 Maelfu wa wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi jana Mbatia alikuwa akihutubia maeneo ya Soko kubwa hapa Mtwara,kuna mwananchi akamuuli kama mpinzani kwa nini ameteuliwa na Rais Kikwete kuwa M bunge ,Je kweli yeye ni mpinzani au yuko...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Wapanda pikipiki wamekuwa wakituhumiwa kila wakati kwamba hawavai kofia (helmet) ili kuwakinga na ajali. Kubwa zaidi ni kitendo cha kupakiwa watu zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja. Tulitegemea...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Maelfu ya wazanzibari wakiongozwa na Taasisi za Kiislamu na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) wakifanya matembezi ya amani katika barabara za Zanzibar na kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
6th May 2012 Email Print Comments National Social Security Fund (NSSF) Ten state-owned corporations and agencies...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Maandamano yaliyokuwa yameandaliwa kwa ajili ya kumpokea mbunge wa Tanga Mh Omari Nundu yamesitishwa kutokana na sababu za kiusalama. Chanzo: Tanga television.
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mwenge wa uhuru ulipokuwa umekesha Mjini Mafinga Wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa siku ya Jumapili 20/05/2012 kuamkia jumatatu, siku ya jumatatu wanafunzi hawakwenda shule eti kwa sababu walimu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia semina elekezi ya wakuu wa wakuu wa mikoa,makatibu tawala wa mikoa na wakuu wa wilaya nikabaini kuwa jk ni mtu wa strategy.nimemuuliza ofisa mmoja wa tamisemi aliyeko katika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani jitokezeni wanasingida kaskazini mgombee ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Nyalandu hatufai,ni mwizi, mwongo,mzinzi,anayependa kujisifu na kujigamba. Ametoa ahadi nyingi sana jimboni na sidhani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Source Uhuru Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea kamsafisha mbunge wa Bariadi mh. Chenge na kusema hausiki na ufisadi na dhuruma ya ununuzi wa rada ila kama labda ashitakiwe kwa fedha zake...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…