Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niko Zanzibar hali si shwari nimeamua kuachana na mikutano yangu na kurudi bara. Kila kona mabomu, pia maduka yamefungwa na vyakula naona ni ghali ghafla. Muda huu naandika niko kwenye boti...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze miaka 20 iliyopita, siku zote CCM imekuwa ikiuchukulia Muungano kama mtaji wao wa kisiasa (political capital) dhidi ya vyama vya upinzani. Walileweshwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salam, napendekeza re-mix ya hii nyimbo kwa style ya kuweka beti ambazo zitaiwezesha nyimbo hii kutumika kwenye uhamasishaji wa kuwaelimisha watanzania nani anasababisha vitu kupanda bei, na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili...
0 Reactions
206 Replies
15K Views
Hata sisi wana ccm kwa jinsi tunavyoona nchi yetu inavyokwenda tuko ccm kimtazamo tu lakini mioyo yetu tuko Chadema kwani wanataka kutukomboa kutoka kwa hawa wakoloni weusi. Wa Tanzania tumefika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania has spent over 12bn/- in the preparations for the African Development Bank Group meeting taking place in Arusha. The chairman of the organizing committee, Mr Ngosha Said Magonya stated...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
• YAZOA WANA CCM KILA KONA YA NCHI na Waandishi wetu WIMBI la viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) limezidi kushika kasi...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Uzinduzi wa Tawi la Chadema Washngton DC
0 Reactions
11 Replies
2K Views
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Vurugu inayoendelea zanzibar inanikumbusha wimbo mmoja wa zamani wa Chakachaka Ivone uitwao let them go,nilikuwa naupenda kwani nildhani enzi hizo alikuwa anamwimbia Mandela aachiwe.Ni sawa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
''WATU WANAZUNGUMZA UZANZIBARI!!!!'' ''WATU WANAJIVUNIA UZANZIBARI!!!'' ' Tunataka KIONGOZI na VIONGOZI WATAKAOELEWA HIVI, ''KUZUNGUMZA UZANZIBARI SI JAMBO LA FAHARI HATA KIDOGO, HATMA YAKE...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Baada ya Baadhi ya vyombo vya habari kutoa habari kuhusu kuwepo kwa fomu ya kujaza kupinga Muungano. Tayari misusuru mikubwa ya watu kujitokeza kujaza fomu hiyo imekuwa kubwa. Tayari fomu hizo...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Katika hatua nyingine, CCM kimetangaza rasmi kuanzisha kampuni za biashara na kuimarisha mapato kwenye miradi yake ili kuwa na nguvu ya kifedha na hivyo kujiepusha na fedha chafu zinazoweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
chadema njoo huku Rufiji mloka mfungue tawi wananchi wanawasubiri kwa hamu.
0 Reactions
0 Replies
982 Views
REGIONAL INFLATION Country Inflation (%) ANGOLA 11.2 BOTSWANA 7.5 MALAWI 11.4...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Yusuf Makamba ametunga vitabu wiwili:- Binadamu na Kazi na Ukweli kwa mujibu wa Biblia na Kurani Tukufu suna za Mtume na Sheria za nchi. Vilizinduliwa na makamu wa rais Dr. Bilal.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni kwa akina Lusinde huko. Yaani itabidi nchi nzima tufunge na kufanya maombi. Ebu sikilizeni hii:
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Vuguvugu la mabadiliko limeshika kasi kila kona ya nchi,Linalopangwa na Mungu hakuna wa kuweza kulizuia ndiyo maana zile juhudi za kukwamisha mikutano ya utambuzi wa kifikra inayofanywa na polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kama mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii Forums ambapo nimekuwa mwanchama kwa karibu miaka mitano sasa tangu ikiwa Jambo Forums kabla ya kubadili jina na kuwa Jamiiforums nimekerwa sana na...
30 Reactions
118 Replies
15K Views
Habari za majukumu wana JF naomba niseme kwamba ni mara yangu ya kwanza kupost topic humu barazani ila nimekuwa nikisoma sana post za wenzangu na kuelimika pamoja na kujua mengi juu ya hatma ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…