Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja.
1. Bashiru Ally
2. Polepole
3. Ndugai
4. Makonda
5. Afande Sirro
Historia ya Tanzania...
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi.
Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha...
Wasalaam.
Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa...
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura"
Hiyo ni kauli maarufu ya...
Top 10 ya nchi zenye akiba kubwa ya gesi ya helium duniani Tanzania ipo nafasi ya 6
1. Marekani – 20 bilioni m³
2. Qatar – 10.1 bilioni m³
3. Algeria – 8.2 bilioni m³
4. Urusi – 6.8 bilioni m³...
Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama.
Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote.
Rais...
"Sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za Chama Cha Mapinduzi CCM upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonesha hatari ya...
Petro Daniel Ntagira, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), ametangaza rasmi nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Iyunga, Jijini Mbeya...
Tumepigwa sana Watanganyika
Itoshe kusema, tunahitaji kuungana watangayika kuitetea Tanganyika yetu na kukemea dhuluma kwa watangayika wenzetu popote pale walipo
Na Mwandishi WETU
HUMPHREY POLEPOLE anafahamika kwa harakati zake kupambana na watu anaowaita wahuni; akimaanisha watu wasiofuata taratibu katika uongozi.
Amewahi kuwa Katibu wa Chama Cha...
Sijui niseme ni tukio la aina gani kufurahisha au kuchukiza au ni kukosa elimu kwa ofisi uliopewa.
Naam tukio hili linamhusisha wazir wa ulinzi wa JAMHURI YA MUUGANO TANZANIA ndug Stergomena Tax...
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa...
Wapo wanaosema kwamba ukimwona nyoka amevaa magamba mapya, usidhanie kuwa ameacha sumu. Wapo pia wanaoamini kuwa hata simba, akiwa amejeruhiwa, huanza kufikiria kula nyasi, si kwa sababu anapenda...
Waziri wa Miundombinu na Ujenzi Mheshimiwa John Magufuli amesema kwamba atasimama na msimamo wake kuyapiga marufuku magari ya mazigo kutokugoma barabarani.Waziri Magufuli amesema kwamba anashangaa...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo:
1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini...
Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi.
Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa...
Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata.
Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan...
"....Tanzania imetekwa na kakikundi kanakojiita serikali ndani serikali maarufu kama "Futungo State" kama ilivyokuwa kule Congo au "Parallel State" kama ilivyokuwa kule Angola
Hivi ni vikundi vya...
Maria Sarungi
NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️
Pole zako kaka Humphrey
Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.