Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi...
Urusi imesema imekiteka kijiji kingine magharibi mwa mkoa wa Donesk nchini Ukraine Jumapili 13.07.2025 wakati vikosi vyake vikiendelea kupata mafanikio na kusonga mbele kuelekea katika mkoa jirani...
Mkuu wa mkoa wa DSM Leo ameongoza Msafara wa Viongozi chungu nzima waliohudhuria uzinduzi wa Kitabu kilichoandikwa na Suzan Magufuli
Suzan ni mtoto wa mzalendo namba 2 nchini Shujaa Magufuli...
Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania
Kumbe Zitto kwake yeye...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Bw. Geofrey Kiliba, amesema kuwa wadhifa wake ndani ya jumuiya hiyo haumzuii kutoa pongezi kwa viongozi wa serikali wanaotekeleza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kifo cha Rais...
Wewe fuatilia tu yanayoendelea ukiwa umetuliza akili
Huyu Polepole ndio alisema Lowassa akiteuliwa na CCM atazunguka nchi nzima kumpinga
Watu wanaliana timing sana
Mlale unono 🙏
https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U
Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake...
Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila...
Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani...
GT
Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini.
Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya.
Kwa hiyo mwacheni...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii tarehe 7 - 13 Julai, 2025.
Huo Wimbo uliimbwa na Sedekia ambaye alifariki akiwa nchi Takatifu ya Israel katika kazi ya kumtumikia Mungu wa mbinguni
Wimbo uko ukurasani kwake Insta
Mlale unono 🙏🇹🇿🇮🇱
Friends and our Enemies,
Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni.
POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa...
"Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka...
OMBI KWA RAIS MAGUFULI: NITEUE UBALOZI WA CUBA BILA MSHAHARA
NA SABATHO NYAMSENDA
Mpendwa Rais Magufuli,
Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Tafadhali pokea pongezi zangu za dhati kwa uamuzi...
Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mh Mbowe aliongoza ziara ya Watumishi wa KKKT Machame waliokuja jijini DSM kimafunzo
Ujumbe huo ulizuru Sharika Mashuhuri za Boko, Mbezi beach, Kijitonyama na Kimara...
Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu.
Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi...
Nimeshangaa sana ndugu Polepole kuhusisha kazi ya Balozi na uanachama wake wa CCM
Polepole anajiuzulu Utumishi wa Umma lakini anasema ataendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM
Polepole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.