Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia...
Wakuu
Kumekuwepo maswali mengi kuhusu wingi wa waliojitikeza kuchukua fomu za kutia nia na ubunge na udiwani, kupitia Kipindi cha Mada Kuu - TBC kilichofanyika Julai 10, 2025 Mchambuzi wa Masuala...
2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na...
Tunajaribu kugombana na:
1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa...
Haingewezekana tena kumbakiza ubalozini kama muwakilishi wa Tanzania huko ng'ambo.
Pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma kwa anasa binafsi, kukengeuka na kushindwa kabisa...
Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli .
Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza.
Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika...
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano...
Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka...
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.
Kazi...
USHAURI WANGU KWA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU
Mimi kama raia wa Tanzania ninayependa haki, amani, na utawala wa sheria, napenda kutoa ushauri wangu kwa heshima kwa Mahakama...
Chaumma wameanza kufungua ofisi hadi kwenye maeneo wasiyojulikana kabisa mfano kule Mbambabay Nyasa.
ACT Wazalendo wanamsubiri Polepole wakiamini katika msimamo wake wa Zanzibar Huru kwenye mfumo...
GT
CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga...
Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano.
Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia...
Wakuu,
Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba...
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya...
Wakuu,
Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi...
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.