Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no...
1 Reactions
50 Replies
1K Views
Hata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
31 Reactions
99 Replies
6K Views
Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm...
9 Reactions
20 Replies
834 Views
Katibu mwenezi mkoa wa arusha Saipulani Ramsey aliwahi kuzungumza kabla ya mchakato wakupatikana kwa wagombea wa nafasi za udiwani na ubunge
4 Reactions
6 Replies
666 Views
Akizungumza leo Julai 14, 2025 na wanachama wa chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu wa Bara, Benson Kigaila amesema mabadiliko yanayohitajika yatapiganiwa wakiwa bungeni badala ya kukwepa uchaguzi na...
2 Reactions
14 Replies
536 Views
Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara...
3 Reactions
3 Replies
381 Views
Ndugu zangu Watanzania, Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini...
5 Reactions
122 Replies
7K Views
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika. Project zilianza pale wana elite ndani...
16 Reactions
97 Replies
8K Views
Karibu kila mtu anajua kuna hali tete sana kuhusu uongozi wa Raisi Samia kukubalika na viongozi wengine ndani ya CCM. Na kwa sababu CCM ina utaratibu mbovu kwamba Rais ndie anakuwa Mwenyekiti wa...
14 Reactions
69 Replies
3K Views
Karani katika halmashauri ya Muheza jijini Tanga, Saum Juma amesema ongezeko la mshahara lililotangazwa na Rais Samia Suluhu litawanufaisha kwa vitu vingi ikiwemo kununua viwanja, kujenga nyumba...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Wanachama watatu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamefungua shauri katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, wakiomba kibali cha kufungua shauri la jinai kwa walalamikiwa wanne wakiwamo viongozi...
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Shauri lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini la kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima linaendelea...
0 Reactions
3 Replies
402 Views
Mtia nia wa ubunge Jimbo la Mkinga mkoani Tanga kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Wakili Msomi Recho Kiogwe, amesema historia ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini ni ndefu na...
0 Reactions
2 Replies
300 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa...
5 Reactions
6 Replies
517 Views
Jeshi la Polisi Mkoa Lindi, limemuachia Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe baada ya kumkamata kwa muda kwa tuhuma za kutoa taarifa za vitisho katika mkutano wake wa hadhara...
3 Reactions
15 Replies
847 Views
Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa...
5 Reactions
3 Replies
478 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu...
28 Reactions
129 Replies
7K Views
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo...
0 Reactions
10 Replies
705 Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao. Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha...
5 Reactions
1 Replies
316 Views
Back
Top Bottom