Kuna watu sasa hivi wanajadili kama Polepole kutuma barua ya kujiuzulu mtandaoni amefuata protokali! Yani karne hata barua ya kujiuzulu yenye maudhui na sababu kama hii ya Polepole iwe siri ya...
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu waliowengi wanaongea mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi huku wakionyesha kuwa watafurahi pale litakapowakuta la kuwakuta hasa hasa kwa...
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza...
Naomba nisisitize, kwa utaratibu wetu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mpaka sasa hakuna mtu ambaye ameenguliwa au kukatwa kama ambavyo inaripotiwa kwenye Vyombo vya habari. Nimeona wameandika huyu...
Chukulia tu mfano wa Nusrat Henje na Esther Matiko wamechukua fomu za Ubunge CCM ilhali ni wanachama wa Chadema kwa mujibu wa Mahakama
Komba alisema kokoro ni nyavu za wavuvi za kuvulia samaki...
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali...
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za...
Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na...
Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia...
Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii...
Wale wateule waaminifu wa hayati Magufuli ndio wanamaliziwa kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
Na sasa wanapangiwa majukumu mengine.
Je, unadhani amebaki nani katika wateule waaminifu wa hayati...
Habari wana jukwaa!
Kwa kinachoendelea katika kupitisha wagombea na ukitazama walioenguliwa ni dhahiri kabisa kuwa sasa hivi hata upendwe na wananchi wako vipi bila kupendwa na kiongozi wa nchi...
BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno...
Wanabodi,
So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais...
Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.