Baada ya Kassim Majaaliwa philip mpango Humphrey Polepole nani anafuata ?

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata.

Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba Humphrey polepole kujiondoa katika serekali ya ccm na Samia.
 
Sema baada ya Polepole sasa
 
Back
Top Bottom