Ccm na hoja ya ukabila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na hoja ya ukabila

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BBA, Jun 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  BBA JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamii nimekuwa nashangazwa sana na kilio cha ccm kuhusu ukabila make wamekuwa wanawambia cdm kuwa wana ukabila. Kiukweli mi nakanusha sana kwa sababu zifuatazo:
  • heche ambaye ni mwenyekiti wa bavicha si mtu wa kaskazini ni mkura wa tarime na nimesoma nae a-level.
  • zitto ni wa wapi kweli?( jibu kwa wanaccm tu) ni naibu k/ mkuu.
  • arfi ambaye ni makamu m/kiti ni wapi kweli?
  nimelazimika kusema haya kwa kuwa hapa wilayani misungwi ambako ndo kwetu kuna district educational officer (d.e.o) sekondari anateua watu wa kwao tu kuwa wakuu wa shule na wote hawana sifa hivyo amewakasimisha madaraka kwa miaka wengine zaidi ya miaka 3, viongozi wa ccm wapo tu na hawasemi wala kukemea na ameshawakatisha tamaa kweli walimu wenye degree. Huyu d.e.o. Ni mkerewe, je huku si kuendekeza ukabila?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...