MWAYEMBE hongera PAMBANA ZAIDI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWAYEMBE hongera PAMBANA ZAIDI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kyindokyakombe, Jun 8, 2012.

 1. K

  Kyindokyakombe Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kuona kuna watu wanaona kitendo alichofanya MWAKYEMBE ni kibaya kwa kutaka kuhalalisha UOVU wa wale MAWAZIRI waliomtangulia.TARATIBU ZA UTUMISHI hazikufuatwa sasa mnataka aendelee na uozo huo haifai MWAKYEMBE tumia ELIMU yako kama MWANASHERIA kusimamia UKWELI na HAKI za WTZ WANYONGE.MWAKYEMBE endelea tupo pamoja hii nchi ni kama inamalizwa so sisi wachache tuliobakia tupambane MUNGU yu pamoja nasi tutashinda. Walizoea kukwapua MABILIONI kwa MABILIONI sasa wasahau na hao WATUMISHI waache UMBEA walizoeshwa vya DEZO Kama kule wizara ya NISHATI kwa LUHANJO.
   
 2. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  UKWELI UPI ALIO NA ANAOUSIMAMIA?WA KUTUNZA MAOVU KWA MANUFAA YAKE??KISHA ANAKUJA KUTUZUGA KWA KUFUKUZA WENGINE..!HUYU ATWAMBIE KWANZA ALIYOFICHA NI YEPI KWA MANUFAA YA TAIFA NDIO TUTAMUELEWA KIDONDA HICHO ALIJIWEKEA. Na AKITWAMBIA IMANISHE KWELI ILIKUA NI KWA MANUFAA YA WANA WA NCHI NA SIO MWANANCHI NA YEYE. ATUSAHAUUUUUUU HATA AJE VIPI
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Whom is MWAYEMBE
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Si hata mimi nashangaa, huyo Mwayembe sijui ndio nani hasa hapa Tanzania.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 5. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,468
  Likes Received: 2,137
  Trophy Points: 280
  Naona hii mada ni ngumu sana hasa ikiwa na ukuzani kati ya FIKRA NA KUFAHAMU. Tunaomba tujadili vitu kwa masilahi ya Watz wote cyo m2 mmoja.

  Kumpinga Mwakyembe sio sahihi kwa vile anajitahidi kurudisha IMAGE ya shirika kama hili lenye matatizo mengi ndani ya nchi yetu. Pia, kama kuna tatizo linaloonekana waziri kafanya lijulikane ili WJ walijadili kwa kina.

  Ila kwa masilahi ya nchi na kwa majukumu ya uwaziri anaweza kuwa sahihi kwa % kubwa.Tanzania inahitaji vitendo zaidi kuliko maneno mengi ya matumaini.
   
 6. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  ......mkuu,u have a point!
   
 7. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwayembe...unh!
   
 8. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  MWAYEMBE???? Ni mwana kwaya or?

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
Loading...