Nape: uzalendo hauvaliki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: uzalendo hauvaliki!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YanguHaki, Jun 9, 2012.

 1. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kauli mbiu yako ya "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo" sio sanifu. Kwanza umeitohoa kutokana na ya Chadema ya "vua gamba, vaa gwanda"
  Uzalendo ni kitu kisichoonekana bali matokeo yake ndio yanayoonekana. Uzalendo ni mawazo ambayo hujazwa kwa watu kupitia mafundisho ya mara kwa mara ya watu kutambua utaifa wao na kuipenda nchi yao. Uzalendo ni "doctrine".
  Kauli ya kuvaa gwanda maana yake ni kujiunga na M4C. Sio kuvaa kabisa nguo za khaki (physical wearing of clothes) zinazotumiwa na CDM.
  Sasa basi tuoneshe jinsi kuvaa uzalendo kwa vitendo na sio porojo za majukwaa ya siasa.
   
Loading...