CHADEMA - SAUT Mwanza kuendeleza harakati za M4C katika kata-Nyambiti, jimbo la Sumve kesho

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu, hesima kwenu. Baada ya ziara mbili za mwendelezo wa M4C wilayani Geita katka kata za Lwezera na Kasamwa, kesho makamanda wataendeleza harakati wilayani Kwimba,jimbo la Sumve katka kata ya Nyambiti.

Tathimini ya ziara hizo mbili wilayani geita ni kama ifuatavyo: Katka kata ya Lwezera ,kadi 20 za CCM na kofia 8 zilh rudishwa na kuchomwa moto.

Katka kata ya Kasamwa kadi 58 za CCM zili rudishwa na kuchomwa moto chini ya uratibu wa katibu cdm mkoa wa mwanza, ndugu Mshumbusi na Rogerz, katibu cdm wilayani geita na makamanda wengine.

MUSOMI MMOJA ALIPATA KUSEMA "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA, MWEREVU YUPO MATATANI." Hii ndo hali halisi, mtaji wa CCM vijijini haupo tena, wananchi wana hamasa sana ya mabadiliko.
 
Da jimbo la home kabisa hilo makamander kila kheri, naiona kabisa safari ya mh. Ndassa ikiwa ukingoni, jamaa anadharau sana yule anasemaga eti mbunge wa kuliongoza ilo jimbo zaid yake bado hajazaliwa!
 
Fanyen jitihada mzifikie pia na kata za iseni, maligisu, nyamigamba, mantare, ngula, mwabomba, malya, bungulwa, lyoma, mwagi na sumwe yenyewe. Ukomboz ukishawafikia hao, sumve kwa magamba bye bye!
 
Da jimbo la home kabisa hilo makamander kila kheri, naiona kabisa safari ya mh. Ndassa ikiwa ukingoni, jamaa anadharau sana yule anasemaga eti mbunge wa kuliongoza ilo jimbo zaid yake bado hajazaliwa!

Nikiulizwa ni jimbo gani litachukuliwa na CDM 2015 la kwanza nitataja SUMVE.

Nina uhakika Sumve iko CDM 2015
 
kweli kabisa sumve tumesha mchoka huyo richard mganga ndassa....maligisu,sumve,ngula na malya ndo kitovu cha mabadiliko katika jimbo la sumve...ndassa maligisu hatakiwi kabisa...hakuna kulala
 
Ukitaka kumuua nyoka ni vema kupiga kichwa.Tanzania bila magamba inawezekana.Mataputapu ya Nape kuwa ccm itatawala milele ni kwa mujibu wa elimu ya uraia aliyopewa na magamba wenzie.Lakini kimsingi hata kwa akili ndogo tu,utagundua ktk historia hakuna utawala au chama kilichowahi kutawala zaidi ya miaka 60 ktk nchi yenye watu wanaojitambua.Makamanda kapigeni kazi,bahati mbaya tu mwenyewe nitakuwa na shughuli nyingine ya ujenzi wa taifa.Kawaambieni watu wa sumve kuwa:magamba hawana muda wa kutekeleza sera zao bali wako bize kuzinadi upya pale jangwani as if siyo waloshika dola.
 
makamanda wa CHADEMA SAUT,ndo tupo hapa mwisho wa lami magazetini chuoni ,tunajijikusanya tukagawe dozi jimbo la Nsumve kata ya Nyambiti,elimu ya uraia na kujitambua ndo msingi,tuna slogani yetu moja inaitwa'JIFUNZE KUICHUKIA NA KUIPINGA CCM VIJIJINI'Mpaka magamba watakoma,tumeshajitolea,hatutarudi nyuma kamwe,hatuogopi SAPU,KUFUKUZWA wala KUFA,Coz wiki2 zilizopita mwenyekiti wetu ndugu,Pastrobas Pasco alitekwa kwa mda na watu wanaosadikiwa kuwa wa usalama ccm,nukta.nitawatupia picha mambo yakianza.
 
Back
Top Bottom