Kosa ni la Chizi au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kosa ni la Chizi au?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PapoKwaPapo, Jun 9, 2012.

 1. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanabodi mimi ninakaswali kadogo tuu kuhusu huyu bwana Chizi na waziri....
  Watu wameshikili bango hili jambo bila kujua kiini chake, kwa harakahara tuu ni kwamba Chizi hakujiteu mwenyewe. Kama kazi yake haikufuata utaratibu basi aliyepaswa kuchukuliwa hatua ni aliyemteu na siyo mteuliwa.
  Pili hili la kuteuna teuana kwa nini lakini? Hivi hakuna bodi ya wakurugezi?
  Na je hakuna kikomo cha uteuzi?

  Naishia hapa?
   
 2. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kosa si la chizi. Bali atc ni ka mradi ka ccm wanajua wafanyalo
   
 3. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa kwanini Chizi anahukumiwa? tena kwa aibu kubwa tuu
   
Loading...