Aibu kwa CCM...

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
Wajameni,
nape yupo dunia hii kweli.
nataka atueleze maana ya kinyago wamechonga wao halafu kiwatishe.
swali kwake,je kama wamechonga wao iweje wakiige kwa kila kitu
tizama,
1. m4c ilifanyika jangwani,ITV wakairusha live kuanzia saa kumi.
eti nao wame-copy bila hata ku-paste wala ku-edit..
vile vile,wanaitangaza ITV na watakua live pia kuanzia saa kumi siku ile ile jmos

2. wanafata makombo nyuma.m4c ikipita nao wanafata.
ndio kusema wameishiwa sera,wanasubiri waanzishiwe nao wanaiga.
kazi wanayo..

3.je kazi yao ni kujibu hoja za kinyago walichokichonga wao?na kama hakiwatishi si watulie tu waone mziki wake.
watanyea debe!! kibaya zaidi hawajibu hoja bali wanatukana.
nina wasiwasi na watoto watakaoenda kucheza kiduku jangwani.watoka na mimatusi wanaenda kuisema kwa wazazi wao.

upuuzi wao sasa..
eti wanazungumzia mikakati ya miundo mbinu leo kwa ahadi waliyotoa 2005;wamechokaaaa hao!!!
eti,mataalamu wao kutatua umasikini ni wasira,kituko!!

swali kwa nape.mbona ana-act kama pinda wakati yeye niwa itikadi tu,imekaaje?.
yaani ktk chama looote,namuona yeye tu ndio anahaha,wkt kuna mkama.kikwete etc.
iweje yeye tu.ama kweli ni vuvuzela!!!
 
mTO UMEKAUKA SAMAKI WANA GASP FOR ILLUSIVE AIR, HAO NDO CCM SASA HAWANA JIPYA
 
siamini kuwa ndani ya ccm hakuna mwenye akili hata mmoja, kweli jamani?
 
Raza kauliza nani kampa madaraka nape wakati hata kura 10 hakupata?
 
nape atatawala milele kwa kupeleka pembejeo msimu wa kulima ukiwa umeisha
 
dunia ya leo ni kuiga mbona nchi za asia zinaendelea kwa teknologia ya kukopi kutoka nchi magharibi
 
dunia ya leo ni kuiga mbona nchi za asia zinaendelea kwa teknologia ya kukopi kutoka nchi magharibi
ndio unaiga,ila unaiga kitu gani..hivi umeona ccm wanvyoiga? ktk kuiga kwao unaweza kunitajia hata kimoja cha manufaa kwa watanzania km si ngonjera tu na kiduku
 
Wajameni,
nape yupo dunia hii kweli.
nataka atueleze maana ya kinyago wamechonga wao halafu kiwatishe.
swali kwake,je kama wamechonga wao iweje wakiige kwa kila kitu
tizama,
1. m4c ilifanyika jangwani,ITV wakairusha live kuanzia saa kumi.
eti nao wame-copy bila hata ku-paste wala ku-edit..
vile vile,wanaitangaza ITV na watakua live pia kuanzia saa kumi siku ile ile jmos

2. wanafata makombo nyuma.m4c ikipita nao wanafata.
ndio kusema wameishiwa sera,wanasubiri waanzishiwe nao wanaiga.
kazi wanayo..

3.je kazi yao ni kujibu hoja za kinyago walichokichonga wao?na kama hakiwatishi si watulie tu waone mziki wake.
watanyea debe!! kibaya zaidi hawajibu hoja bali wanatukana.
nina wasiwasi na watoto watakaoenda kucheza kiduku jangwani.watoka na mimatusi wanaenda kuisema kwa wazazi wao.

upuuzi wao sasa..
eti wanazungumzia mikakati ya miundo mbinu leo kwa ahadi waliyotoa 2005;wamechokaaaa hao!!!
eti,mataalamu wao kutatua umasikini ni wasira,kituko!!

swali kwa nape.mbona ana-act kama pinda wakati yeye niwa itikadi tu,imekaaje?.
yaani ktk chama looote,namuona yeye tu ndio anahaha,wkt kuna mkama.kikwete etc.
iweje yeye tu.ama kweli ni vuvuzela!!!

Kesho lazima tufunike tu

attachment.php
 
Attachments

  • malori ndo mpango mzima.jpg
    malori ndo mpango mzima.jpg
    37.1 KB · Views: 2,621
Ama kweli la kuvunda halina ubani,wanaacha kutekeleza sera eti wanaendelea kunadi.Nawe MAKUPA usiwe conservative hata kwenye mambo yasiyomsaidia Shangazi yako kijijini.Yaani Mawaziri wanaolipwa kwa kodi zetu:waache kufanya kazi tuliyowatuma kupitia Rais aliyewateua,eti waende kusema :ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI-za wengine zidumae.What kind of craziness to this poor nation?
 
namshangaa sana Nape Nape bwana hasomi alama, unajua Nape anasahaulisha watu, Nape ni kama kiazi, kwanza ni mtoto wa kigogo..na nafasi yake wangeweza shika watu wengine wenye uchungu na ccm, lakini hajui anaimalizia kuizamisha, YEYE ni gamba unaposema milele!!!!! anajua milele Napa? anamaana gani? nape bwana, nampa pole mapemaaaaaa angejua angepunzika asubiri matokeo si kuingia wapinzani? hapana kuchukuliwa hatua maana yeye hatakosekana kwenye mahakama za miaka kadhaa ijayo....
 
Kesho lazima tufunike tu

attachment.php

Hivi sheria za usalama barabarani huwa haziwahusu hawa wenye nguo za kijani na njano?.

Hili swala la selective justice ndo limeharibu nchi.
Ajabu sana kukuta askari ndo wapo bize kuyaongoza haya mafuso.
Ikitokea ajali tutasema kazi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom