Eti? Tunadai haki yetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti? Tunadai haki yetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PetCash, Jun 9, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  461324_10150839761365216_1394154436_o.jpg

  Asalam Aleykum! ndugu zangu waislamu!
  Hivi kweli haya madai tunayoyataka yana tija ama tu kwa kutokuchunguza mambo vizuri ndo tumefika huku?
  Baraza la Mitihani limerekebisha kasoro iliyojitokeza kwenye mitihani ya elimu ya dini ya kiislamu, hebu tujiulize..
  a) Wangekuwa wameamua kutufelisha wangekiri wazi kuwa walikosea na wakarekebisha?
  b) Ni kweli kwamba hakuna waislamu wenzetu NECTA?
  c) Na je huwa namba za mitihani zinaweza kutujulisha huyu ni mkristo na huyu muislamu?
  d) Je raisi wetu (ambaye ni muislamu mwenzetu) hajapata tu habari za kiitelijensia (kutoka waislamu wa baraza) na akang'amua kuwa BAraza ni La Kikristo na akalirekebisha hilo au na yeye keshachakachuliwa?
  e) Kwanza ukristo unahusika vipi hapa? yani kukosewa tu kwa paper moja ndo kunaleta haya yote?
  Ndugu zangu tujiulize kabla ya kufanya mambo unreasonably!

  DISCLAIMER: i'not a muslim but I would never do such a thing to another human being regardless of our differences in whatever if I was working at NECTA....Love is the foundation of christianity not hate!
   
Loading...