Wanachama wenzangu msikose kuja kesho Jangwani tar 9/6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama wenzangu msikose kuja kesho Jangwani tar 9/6

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chitanda.nyoka, Jun 8, 2012.

 1. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  pamoja sana....saa 4 nitakuwa pale.
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,474
  Likes Received: 1,833
  Trophy Points: 280
  kuna usafiri,tshirt,na buku 5?vinginevyo hatuji!ILANI YA CCM 2010 ILIKUA NA KATIBA MPYA?tuache kudandia sera za chadema
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,392
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Ubwabwa upo?iweje mwanza wale cc tusile
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,412
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkubwa! Nimeshakugundua,ndio maana hata kwenye usaili juzijuzi hapa walikupiga chini waligundua huna maamuzi sahihi kwa wakati sahahi, kijana kama wewe walijua kabisa utakuwa fisadi, ingawa wewe unahisi lugha ndio ilikua ni tatizo na vitina za mbongo.

  Kumbe tatizo ni ubongo wako hata kichama umefeli kuwa upande wa ccm, kweli sikio la kufa
  .
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,392
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Shibuda atakuwepo?
   
 7. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,229
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nasikia main speaker atakuwa LUSINDE CHAMATUSI..!
   
 8. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nyumba ndogo zile mbili zitawakilishwa?
   
 9. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Kumbe ni mkutano wa wanachama??!! siji..........
   
 10. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata wewe unakaribishwa
   
 11. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hamna Jipya, labda nyerere akifufuka tutafikiria!
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,392
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  ndugu huo uwanja umepewa jina jipya rekebisha tangazo lako!
   
 13. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Pale sasa hivi si ndo panaitwa Chadema square..? Ha ha ha haa
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mzee wa kunyonyoka atakuwepo manake kaanza kwamkwara
   
 15. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,291
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  Nitakuja kwa masharti: mnijazie mafuta kwenye kibajaji changu, cash msimbazi moja, na ubwabwa. Kwa maelezo zaidi nitafute kwenye usokitabu kwa jina langu hili hili.
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,165
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  CCM kwa kudandia hoja za watu hamjambo,mbona haujajibu swali la mjumbe hapo juu kuwa ktk ilani yenu ya ccm uchaguzi wa 2010 suala la katiba mpya lilikuwapo?
   
 17. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hatudanganyiki
   
 18. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WEWE UKO WAPI,CCM ilishatoa msimamo wake kuhusu katiba mpya huenda ulikuwa ulaya ziarani ukiimarisha chama.
   
 19. leloch

  leloch JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  khe.! Nami ngoja n wah nataka bb mpya 1 na vocha za buku 5 2ntakuja, kama utanthbtshia hlo
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Siji maana simo kati ya waliokaribishwa
   
Loading...