Mawaziri na Wabunge wa CCM Wazomewa Lindi na Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri na Wabunge wa CCM Wazomewa Lindi na Mtwara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Josephine03, Jun 8, 2012.

 1. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mawaziri wa ccm waliojaribu kuzima moto wa chadema Lindi na Mtwara wazomewa leo Sophia Simba amezomewa katika kijiji cha nyangao jimbo na mtama, Mkuchika amezomewa jimboni kwake Newala katika kata ya Namiyonga. Source FB ya Kamanda John Heche

  Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
   
 2. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na bado wasubiri kutupiwa mawe tu
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Safi sana!watawadanganya nini wananchi wa huko wakati wamewatapeli korosho zao wakampa mfadhili mkuu wa ccm mohammed entreprises bure,kisha mhindi kauza india kaingia mitini
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Halafu utawasikia watakavyokanushwa kwa nguvu kwamba hawajazomewa. Wao kuzomewa ni kushangiliwa!
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mpaka mwaka huu uishe kuna baadhi ya waheshimiwa wa MAGAMBA watakua washakufa na STROKE

  juzi tuu nilisikia WASIRRA nae kazomewa kazi ipo
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wananuka rushwa, uozo wote huo nani atawasikiliza?
   
 7. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hawana jambo jipya hao,wasubiri kutandikwa fimbo za tumboni,la kuvunda halina ubani!!
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mkuchika,chibulunje,membe..comon names in politics with zero impact 2 southen zone
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  safi sana,
   
 10. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  chadema acheni utoto wenu tuna tofautiana kwa hoja na sio kwa kuzomea. mnataka kujenga taifa la wazomeaji!
   
 11. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  nafuu mawe!mayai mabovu
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  nabado kupigwa kinyesi
   
 13. D

  Dawa ya Mjinga JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 382
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Mkuu, shilingi ina pande mbili vinginevyo feki. Kwa miaka hamsini au kwa maneno mengine nusu karne, Fisi Wenu mmejenga taifa la washangiliaji. Mkila rushwa tunashngilia, mkifisadi mpaka mkaota magamba mwashangiliwa, mkibadhirifu shangwe, mkiiba mali ya umma mwapigiwa makofi, mkiuza nchi mwaimbiwa nyimbo na vifijo kwa wingi. Mkidhulumu wakulima na wafanyakazi si nderemo hizo, hata mnapoua (kama ilivyotokea Igunga na Arumeru) pia mnadai pongezi na vigelegele. Hilo ndilo taifa mlilojenga. Shangwe kwenda mbele. Mmedekezwa kweli kweli. Kama ni mtu ana miaka hamsini lakini bado anatumia daipa/nepi kama mtoto mchanga.

  Imetosha. Inabidi muonyeshwe ubinadamu kwamba kama sarafu una pande mbili, ukifanya vyema utashangiliwa lakini ukiharibu haki yako utaipata ya kuzomewa. Hivyo ndivyo zilivyo nchi zenye kutumia akili. Fisi wenu muanze kuzoea kuzomewa maana hakuna mlichofanya kinachowastahilisha kushangiliwa. Sasa mtapata kile mnachostahili - kuzomewa mpaka muelewe somo! Mazoea mabaya, walinena wahenga.
   
 14. Mufa

  Mufa Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho lazima tuwazomee pale jangwani
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wanatakiwa kuchomwa moto!
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  ha ha ha! Great article
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ukifanya kima tuta kushangilia lakini ukifanya utumbo tutakuzomea...au ulitaka wapopolwe mawe ndiyo ujue wananchi wamechoka
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ukifanya chema tutakushangilia lakini ukifanya utumbo tutakuzomea...au ulitaka wapopolewe mawe ndiyo ujue wananchi wamechoka
   
 19. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si wangewatia displine tu badala ya kuwasindikiza kwa mayowe ambayo hayawezi kumtia mtu displine? Nami ngoja niwazomee hayoooo hayooo hayoo!
   
 20. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Rejea mazungumzo ya Nape akiwa njombe,anasema CCM itatawala milele,na wanajiandaa kuimba iyena iyena kuelekea uchaguzi wa 2015,hivi ni kweli wananchi wamepumbazwa kiasi hicho kuimba upuuzi wakati hali zao dini hivi???ukombozi uje haraka sana,tumechoka
   
Loading...