Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh, KANGI NATI YA KIRUMI kwanza nikupongeze kwa uamuzi wako mugumu ulioufanya na ni wa kijasiri na kizalendo zaidi kwa wana Mwibara wa kupiga kura ya kotokuwa na imani na Waziri Mkuu kwakweli hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia vyama mbalimbali vya upinzani hapa nchini kwetu, tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe mwaka 1992. Nimegundua katika vyama vyote NCCR Mageuzi ndicho chama kilicho tikisa nchi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau naombeni Mnikumbushe mfumo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Upi? Watanzania Tunatawaliwa au Tunaongozwa? Ni Mimi Msiogope...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Naomba mlioko hapo mlete UPDATES! Picha hizi ni kwa hisani ya Mjengwa Blog.
0 Reactions
135 Replies
18K Views
Binafsi nimekuwa nikapata ugumu katika kujua ni nani msafi ndani ya CCM,maanake kila ninae jaribu kumuona ni msafi napata taarifa kuwa ni mbaya sana,mfano:Samwel...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
  • Closed
Ndugu wanajf habari? Naombeni kwa mtu yeyote mwenye namba ya simu ya mbunge wa Ilala, Mh. Mussa Zungu ani-pm! P'se. Namba yake binafsi, siyo ya ofisi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UTANGULIZI Wote tulisikia kwenye vyombo mbalimbali vya habari juu ya uwepo wa mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwaniulioitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiwa na maudhui ya Kutoa...
39 Reactions
104 Replies
9K Views
Kipindi cha maswali na majibu kwa mawaziri ambacho huanza hakina tija. Aidha hakifai kupewa airtime katika bunge. Sababu ni: 1) Kuna muda mwingi wa kutunga 'uongo'. 2) Maswali ya nyongeza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg wana jf ni wajibu wetu kuendelea kudai na kukumbushia ahadi muhimu kwa uchumi na maendeleo yetu ambazo Rais Kiwete aliahadi wakati anagombea urais kwa awamu ya Kwanza na ya pili lakini mpaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huu ni uhuni kwa kampuni ya airtell, hiyo advert hapo chini ni ulongo mkubwa, si kweli utapata internate bure kwa miezi 6 kuna hidden terms, JE WATANZANIA WANGAPI MMEISHAIBIWA KWA NJIA HIYO? mimi...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
habari zenyu wadau wa JF,ni jumatatu mwanana naomba niilete hii isue kwenu Mara nyingi viongozi wa chama kikuu cha upinzani tz huwa wanatumia usafiri wa angaa km njia moja ya kurahisisha shughuli...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakuna mwanadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya kila mwanadamu ana makusudi na kazi maalumu mungu amempa duniani,tofauti ni kwamba tunazidiana vipaji ambavyo mungu ametupa,makani ni mmoja wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepita katika group moja katika facebook nikakuta kuna post ambayo inazungumzia tuhuma za ufisadi uliofanywa na watu mbalimbali kutoka vyama vya upinzani akiwemo Dr Slaa..,si vibaya tuhuma hizi...
8 Reactions
209 Replies
21K Views
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu...
0 Reactions
155 Replies
21K Views
wacha nisogeee kuona hii mechi ya CCM na mkewe CUF
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wazanzibar kuamka na kuchoswaa na mazingaombwe ya Muungano Fake.  Gazeti hili linaonyesha wazi kuwa Nyerere lana tu lahi alimchity Karume na ndio ukaona alikuwa na mazungumzo ya siri baina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefatilia sana leo mkutano wa ccm jangwani, kwa kifupi nimeona waliohutubia wote wameoza sio magufuli wala magembe etc,. Kwa kiasi nimeona mwakyembe pekee ndio kaongea vitu vya maana na...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Posted on June 10, 2012 by zanzibaryetu Sheikh Mussa Juma Issa akiongea katika mhadhara uliofanyika nje ya msikiti wa Mbuyuni Wazanzibari wametakiwa kuungana katika kutetea maslahi ya nchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inashangaza sana watu wanahoji taratibu za kuandaa usafiri kwa watu kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa, ebu niulize kwa waandishi wa habari wamekuwa mstari wa mbele katika mikutano kuuliza na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…