Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
wacha nisogeee kuona hii mechi ya CCM na mkewe CUF
Ahsante kwa kutukumbusha, endelea kutupa updates, pamoja na kwamba mke hawezi kumshinda mume mahakamani, mara nyingi kesi kama hizi hurudishwa kwenye familia.wacha nisogeee kuona hii mechi ya CCM na mkewe CUF
Tunasubiri hukumu tuwe tayari kukubali maamuzi yoyote ya mahakama tusiwe kama jamaa zetu wa Arusha.
Mkuu ritz hiyo lazima irudishwe nyumbani mje kuimaliza kifamilia watoto wasije wakaumiaTunasubiri hukumu tuwe tayari kukubali maamuzi yoyote ya mahakama tusiwe kama jamaa zetu wa Arusha.
Una jamaa ako arusha kumbe?Tunasubiri hukumu tuwe tayari kukubali maamuzi yoyote ya mahakama tusiwe kama jamaa zetu wa Arusha.
Tunasubiri hukumu tuwe tayari kukubali maamuzi yoyote ya mahakama tusiwe kama jamaa zetu wa Arusha.
tatizo sio kukubali Ritz tatizo ni garama za kurudia uchaguzi ni hasara kwa taifa
zingejengwa shule,zahanati kibao kuliko kurudia uchaguzi
kama kusingekuwa na uchakachuaji na demokrasia ya kweli hakuna mtu angepoteza muda mahakamani
nasikia mke kambania mmewe, kwa hiyo piga ua ni talaka tu. MTAFUTENI BABA PAROKO ASULUHISHE HII KESI YA NDOA. UNYUMBA UNATAABU KWELIKWELI
Hii ndoa ilifungwa kwa mkuu wa wilaya ndiyo wamekwenda mahakamani na siyo kwa Padri wala mahakama ya kadhi.Mkuu, hiyo ndoa mbona sio ya kikristu!
Mkuu, Ghaiama ya kunyimwa haki ni kubwa kubwa kuliko hayo unayoyafikiri!
Mkuu Ngoiva, hapa baba Paroko haoni ndani, ni Mufti peke yake anaweza kusawazisha swala.nasikia mke kambania mmewe, kwa hiyo piga ua ni talaka tu. MTAFUTENI BABA PAROKO ASULUHISHE HII KESI YA NDOA. UNYUMBA UNATAABU KWELIKWELI