Mbunge wa Ilala!

Status
Not open for further replies.

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Ndugu wanajf habari? Naombeni kwa mtu yeyote mwenye namba ya simu ya mbunge wa Ilala, Mh. Mussa Zungu ani-pm! P'se. Namba yake binafsi, siyo ya ofisi.
 
Huyo mbunge nasikia yupo kwenye list ya walioomba rushwa kwenye halmashauri. au unamtafutia dili hizo kamanda?
 
Zungu hayuko kwenye kamati ya Lyatonga Mrema ya hesabu za serikali za mitaa; wale ndio wanaohojiwa na Takukuru kwa kuvuta chenji toka halmashauri zenye hati CHAFU za mahesabu !!!
 
Eti nanyie mnajiita Great Thinker, mwenzenu anomba namba mnaanza kupiga soga. Mwenye nayo ampatie mwenzetu yawezekana ana swala la msingi na huyo Mheshimiwa
 
Usiwe mvuvi penda kujishughulisha, to spoon feed you nenda kwenye website ya bunge la JMT utaipata.
 
Mkuu Bobuk, natambua hilo la web ya bunge, ila natumia simu lakini simu yangu haina uwezo wa kufungua pdf ndo maana nimeomba msaada hapa jf! Mwenye nayo anisaidie.
 
Eti nanyie mnajiita Great Thinker, mwenzenu anomba namba mnaanza kupiga soga. Mwenye nayo ampatie mwenzetu yawezekana ana swala la msingi na huyo Mheshimiwa

ni sahihi, Zungu yupo kwenye kamati ya mambo ya nje,ulinzi na usalama ambayo mwenyekiti ni Edward Lowassa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom