Mswada wa Katiba watinga BLW na HADIDU REJEA watakiwa usijadiliwe upate baraka zote tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mswada wa Katiba watinga BLW na HADIDU REJEA watakiwa usijadiliwe upate baraka zote tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jun 11, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Wazanzibar kuamka na kuchoswaa na mazingaombwe ya Muungano Fake. 
  Gazeti hili linaonyesha wazi kuwa Nyerere lana tu lahi alimchity Karume na ndio ukaona alikuwa na mazungumzo ya siri baina ya watu wawili hao tu kama gazeti linavyo ileza kuwa walikuwa na (Secret talking).

  Sasa Wasisi hao wawili wameshakufa na mkataba haupo wala hakuna alio nao na Tanganyika ndio ilookuwa mshirika wa Muungano nayo haitajwi imekufa .

  Kipi tunacho kisubiri Wana wa Zamnzibar? Au ndio kumezwa katika utata na mazingaombwe haya ya Muungano wanayo tufanyia hawa Watanganyika wajitao Watanzania?

  Hakuna shaka ispokuwa kunusuru Muungano ni kutarishwa kura ya Maoni kuulizwa wananchi juu ya hatma ya Muungano kama wanautaka uwe wa aina gani kama hawautaki ni kuishi na ujirani mwema na kukutana katika Muungano wa Africa Mashariki.
  Ikiwa udugu wa kuingiliana kinchi na kimipaka Basi Tanganyika a. ni Bara limepakana na nchi nyingi ambazo hamuhitaji kuvuka unganene , na Kenya, Unganda Zambia na nyengine mulizo pakana nazo .
  Sisi Wazanzibar tuasheni TUPUMUE.

  Na Wajumbe wetu wa Baraza la Wawakilishi kitanzi kinakuja hicho cha Katiba ,mumeshaambiwa musiijadili ? Yani muipitishe tu kiutapeli ili mujisulubu wenyewe na Zanzibar yenu.
  Hapo ndipo mutakapo angaliwa kipimo cha ujinga.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwaache halafu mafuta myachimbe pekee yenu.subutu. Kagame ametajirika kwa madini ya kongo mashariki. Hata wazungu wapo pale kwa neema waliyopata toka bara la africa na latin america.tukiwaacha hata ukanda wa bahari tunaotaka kuuongeza hatutaupata.ndani ya muungano tutaweza coz jeshi liko chini yetu.
   
 3. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Deni la umeme likilipwa nadhani hata mgao utakwisha. Nendeni kwa amani.
   
Loading...