Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gizakuu, Jun 10, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hebu fafanua. Wameshindwaje kupata stori ya kwenda nayo? Kwani Uhuru wamekwenda na stori gani?
   
 3. Alonick Antony

  Alonick Antony Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzalendo na Uhuru nimagazeti yanani?
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  toa habari kamili, umeishia nusu...naona kuna kitu kinakosekana, malizia meseji yako
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kulikuwa na stori gani ya maana? Jangwani hadi iwe lead stori kwenye magazeti makini? ...
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni ajabu kweli. Hivi fani hii ya uandishi wa habari siku hizi wanafundishwa siasa nini? Inawezekanaje waaandishi wa habari waende kwenye mkutano mkubwa kama ule na wakashindwa kuondoka na kitu cha kuripoti eti kwa sababu tui si wakereketwa wa chama hicho? Nini nafasi ya Waandishi wa habari katika maendeleo ya mtanzania?
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wewe ulitaka waseme nini?
  Au ulikua unasubili zile tetesi za Chibuda kurudisha card?
   
 8. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  CCM wehu mlitaka yawe kama mnavyo mtumia michuzi, jana mlienda kwenye kampeni na ahadi hakuna jipya waandike nn
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,857
  Trophy Points: 280
  Mlimfukuza Tido wa kusimamia ukweli leo yupo Mwananchi anasimamia UKWELI habebwi mtu hapa!

  Nini kikubwa kilichotokea jangwani mpaka wawaandike nyinyiemu?
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  jambo leo, uhuru, habar leo na tbc hivi bado tu havijawatosha? Mnataka vyombo vyote wamiliki muwe ninyi? Alafu kwani w huwez kupata habar toka magazeti mingine?
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  sikuelewi vizuri ulita kusema nini ?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,275
  Trophy Points: 280
  Kweli uko kwenye giza kuu
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pambafu!
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiyo umemaliza kila kitu..tv station zote ziko chini yako, redio station na magazeti mnataka yaanike habari kama mnavyotaka...
   
 15. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160

  Kuna jipya lolote lililotokea jana pale Jangwani hata li make headlines? Maraia wenyewe hawakutimba.. Idadi ya magari ilizd ile za watu
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Gazeti litakalotegema kuweka pcha za mkutano wa jana ndo iwe habari kuu lazma leo wale hasara
   
 17. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahariri wenye utashi hawawezi kuipotosha jamii maana magamba yakiongozwa na nape hayataki kusema ukweli.

  Kipi kikubwa? Msiba wa Mwenyekiti au Mkutano wa wanaojijua kuwa magamba?

  Bigup Tz Daima&Mwananchi; my favourate newslets!
   
 18. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ccm mlitupa SMG (tido mhando) yenye risasi 30,mkaokota bakora!
  Gambaff
   
 19. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Watu kama giza wanaota ndoto yya abnuwasi mchana kweupe! Kwani kulikuwa na stori gani ya maana ambayo wameshindwa kwenda nayo?
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu atamaliziaje? ndo zao nyinyiem hawa,anaanzisha jambo mstari wa kwanza ilhali hajui mstari unaofuata ataandika nini,hawako makini hata chembe, they are very dis organized. Ndo ya akina wassira jangwani kusema ATAJENGA SUKARI yaani ni full kukurupuka
   
Loading...