Shujaa wangu makani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shujaa wangu makani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mifumo, Jun 11, 2012.

 1. M

  Mifumo Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna mwanadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya kila mwanadamu ana makusudi na kazi maalumu mungu amempa duniani,tofauti ni kwamba tunazidiana vipaji ambavyo mungu ametupa,makani ni mmoja wa wanasiasa hapa nchini ambao mungu alimjaalia kipaji na uwezo mkubwa katika medani ya SIASA,ninaweza kusema ni kama tunu kwenye taifa letu,amekuwa mchango mkubwa katika kukuza demokrasia na dhana ya utawala bora katika TAIFA letu ingawa kwa sasa hayupo duniani lakini kuna mengi ambayo ameyaacha wakati wa uwepo wake katika sayari hii,wanasiasa mlioabaki bila kujali itikadi zenu za kisiasa na watanzania tuliobaki tusiache haya aende nayo tuyachukue na tuyaendeleze ili kulisukuma mbele taifa hili lilikosa matumaini likapate matumaini mapya,poleni CHADEMA,poleni watanzania wenzangu..
  RIP MAKANI
   
Loading...