Kuandaa usafiri wa kuhudhuria mikutano ni sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuandaa usafiri wa kuhudhuria mikutano ni sahihi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, Jun 10, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Inashangaza sana watu wanahoji taratibu za kuandaa usafiri kwa watu kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa, ebu niulize kwa waandishi wa habari wamekuwa mstari wa mbele katika mikutano kuuliza na kama si kudai nauli mara baada ya kumaliza mikutano wanayoalikwa na wamepachika jina la mshiko ama transpo,lakini pia wamekuwa wakiandaliwa mikutano mbalimbali nje ya Dar kwa kupewa mpaka nauli za ndege.

  Sasa turudi katika ili la kukodiwa magari kwa wananchi kwa ajili ya kuhudhuria mikutano,kama umekubali kushiriki mkutano kuna ubaya gani kuandaliwa usafiri?

  Kwani kwa mantiki nyepesi tu kama huna mapenzi na mkutano wa chama husika hata ukiletewa mercedes benz kamwe hautatoka nyumbani kwako.

  CCM waliandaa mkutano wao kisasa kwa kuandaa usafiri na viti vya kukaa kwa raha,tusiwe na fikra finyu na mgando lazima tuwajali watu wetu, kuna wengi wanashindwa kuhudhuria mikutano hiyo kwa kukosa usafiri,CCM utaratibu huo ni mzuri hata mkienda Arusha akikisheni mnawaandalia usafiri watu walioko tayari kushiriki mkutano wenu kwa kila kata na hata kijiji ili waje na kurudi kwa urahisi
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kwani unategemea nini kutoka ufisadini? Bila hongo mambo hayaendi. Hawana harufu ya uadilifu. Hawana harufu ya uzalendo. Hawawezi kamwe kuvua gamba lao la ufisadi.
   
 3. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hatuna haja ya kuangalia namna CCM wanavyofanya usanii maana hilo mbona liko wazi? Hatuhitaji kujua walivyo mahiri kwenye wizi wa kura maana hata wao kwa wao kwenye kura za maoni wanatafunana kama mbwa mwitu!

  Tunahitaji kuwafundisha CCM kuwa muumini halisi wa dini hangojei gari la kumpeleka ibadani,anaacha shughuli zake,anaandaa nauli anaelekea anakoamini kuna ukweli.

  Wale watu niliowaona JUMAPILI NI WASAKA TONGE WALIOHAKIKISHIWA KUWA VILEMBA/T-SHIRT,KOFIA SHATI AMA GAUNI zitawasitiri hata baada ya mkutano na kifuta jasho kwa kila mtu kikawa kiasi cha sh 5000 hadi 10000 kwa wajanja ndani ya wajinga.
  CHADEMA msihofu ile ya Jumapili ni screen saver siyo kitu halisi, tusonge mbele.
   
 4. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aacheni huu usanii, kuwapa wanachama au wapenzi aw Chama usafiri Jambo la kawaida. Mtu yuko mbagala, atembee kwa miguu Hadi Jangwani ili iweje? Mbona Chadema kila siku mkifanya mikutano Arusha mnapakia Watu kwenye magari toka moshi na karatu ili muonekane mna Watu wengi Kimberly ni wakuja. ache I Hoja zisizokuwa na mashiko.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Usanii_ccm mmekosa la kusema mpaka mnahalalisha UKOKOTAJI WA WATU MKUTANONI,that wy ndo maana huwa watu weni wenu wanaongoza KUSINZIA mikutanoni mpaka Bungeni.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Muulize Pasco wa JF kuhusu "vibahasha", haendi mwandishi vijijini Mtwara bila "kibahasha".
   
 7. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Tatiza kwa usafiri unapokuwa wa GO tu no Return. Why? kama sio rushwa ni nini? Na kwa usafiri wa Dar ulivyomgumu, afadhali wangekuwa wanatoa usafiri wa kurudi.
   
 8. E

  EDOMU Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona huzungumzii posho ya kuhudhuria mkutano,kilichowaleta watu pale ni posho,t-shirt na kanga-ndio maana akina mama walijjaaaa.chezea kanga weeeeeeeeeee
  nyinyiem na ufisadi,cdm na nguvu ya umma
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Badala ya kwenda kuwachukua, kwa nini usiwahutubie huko huko?
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hatusemi siyo sahihi, la. Tunachosema ni kwamba CCM haioni kuna kitu hakikai sawa kwamba CDM watu hufika kwa njia zao mikutanoni na halafu hapo hapo wanakichangia chama, wakati CCM inajihisi kwamba bila kuandaa mabasi na kugawa kitu kidogo, kamwe haiwezi kupata watu wa kutosha?

  Kwenye red: Na huyo anayetoka Mbagala kama k,weli anakihusudu Chama, basi apande mabasi, na iwapo ataenda kwa miguu, itaonyesha anakipenda chama kweli kweli.
   
Loading...