CCM wamsimamishe Mwakyembe 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wamsimamishe Mwakyembe 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndomyana, Jun 9, 2012.

 1. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nimefatilia sana leo mkutano wa ccm jangwani, kwa kifupi nimeona waliohutubia wote wameoza sio magufuli wala magembe etc,. Kwa kiasi nimeona mwakyembe pekee ndio kaongea vitu vya maana na kweleweka,. Nimegundua mtaji wa afadhali uliobaki ccm ni mwakyembe pekee. Nawasilisha wadau
   
 2. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jamaa yupo vizuri sana walitaka kutuulia jembe.
   
 3. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Namkubali sana. Jamaa ni mzalendo wa kweli, ila hawa wahuni CCM watamtumia vibaya.
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 5,000
  Trophy Points: 280
  ..hakuna mtu msafi anaweza kubakia ndani ya CCM.

  ..Mwakyembe ni mwizi tu na ana kampuni yake ya kufua umeme ndiyo maana alikuwa anaibebea bango richmond.

  ..nyinyi hamshangai zaidi ya richmond hakuna ufisadi wowote ule alioupinga??
   
 5. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  If you cant beat them! Join them. That is what happened!
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  If they will real take your advise nakuhakikishia watashindwa mbaya maana Mwakyembe ni mwepesi sana zaidi ya Shibuda .
   
 7. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Unamkubali kwa jinsi alivoficha baadhi ya taarifa za kamati teule ya bunge iliyochunguza kashfa ya Richmond ili kulinda serikali ovu ya magamba! pale ndipo alipopoteza credibility zote!!
   
 8. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hata wakimsimamisha yeyote wanae amini atawavusha 2015 ndio mwisho wao.
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa ni bomu kabisaakija kyela anasomba watu kwa malori kama kawaida yao ccm,. Ccm inakufa kifo kibaya sn
   
 10. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ninachojiuliza ni, je amewasiliana na dr wake kabla ya kuongea juani vile? Tumfatilie baada ya hicho walichoita mkutano hasije kuwa casuality muhimbili maana kuongea vile na afya ile siyo!
   
 11. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  We unapropose kama magamba mwenzie au nani? Huyo mzee ni mnafiki sana:aliimba nyimbo zake kwenye uchaguzi 2010 eti ooh mi nipo karibu na Rais hivyo nitahakikisha ahadi yake ya meli inatekelezeka kwa wakati...iko wapi? Kama jimbo tu linampa shida ndo apewe nchi tena? Ikiwa hivyo nitahakikisha naenda kuishi uhamishoni-ZAMBIA ili nikaendelee kujifunza vile chama cha upinzani kinaweza shika dola kuliko kushuhudia kuongezeka safari za India,ahadi hewa na pengine hata ukabila.
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maumivu ya kichwa huanza pole pole na hapo kwa sie wana falsafa unaizimikia sana ccm, hongera sana !
   
 13. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Wadanganyika kwa kudanganyika kirahisi, hakika wanatia fora. Haya haya tuliyashuhudia mwaka 2005, eti chaguo la Mungu. Mtu msafi anathubutuje kuishi ndani ya nyumba chafu? Tamaa? Unafiki? Uroho? Kitu gani kinamsukuma Mwakyembe ajidhalilishe hivyo kama kweli yeye msafi. Uvae nguo safi halafu ujigaragaze kwenye tope! Wapi na wapi!
   
 14. k

  kajembe JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye ukabila umeongea Upumbavu! mambo ya kizamani hayo! unapandikiza ujinga wewe! usimuhusishe mtu binafsi na kabila lake!una maana Wanyakyusa hakuna walio safi? Tukianza kusikiliza watu wenye mawazo ya kijinga kama yako mafisadi wataimaliza Tanzania,Tatizo letu hapa ni CCM na ufisadi wake!mbona wezi wengine hamzungumzii makabila yao? acha mawazo ya kibaguzi hayo! Wanyakyusa ndiyo wameleta umaskini wa nchi hii au mijitu miizi ya CCM? unataka kuvuruga attention ya kweli ya adui yetu wa kweli umeanza siasa za chuki za kijinga kabisa! Mwakyembe tumuhukumu kwa matendo yake siyo kwa kabila lake! mnakatisha tamaa watu kwa sababu ya upeo mdogo sana wa kufikiri!
   
 15. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  End of Ritz 1 na Empire yake
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  anaweza kugombea kupititia cck asipoahidiwa unaibu waziri..huyu jamaa ni mgonjwa pia
   
 17. nyamemba

  nyamemba JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 689
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Mwakyembe ni mchapakazi hodari,ila namshauri asimwamini yeyote hasa baada ya yaliyomkuta na baada ya hotuba yake jana,wahafidhina ndani ya CCM hasa wanaousaka u-rais-2015 hawajafurahishwa na hasa jinsi wananchi walivyoipokea hotuba yake na jinsi alivyoanza kuchapa kazi ndani ya wizara yake.Be keen DR
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama ulimsikiliza vizuri. Huyu ni CDM.
   
 19. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hujui unachokinena, Dr.Mwakyembe ni moto mwingine ndani ya siasa za Tanzania
   
 20. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Uzalendo gani wa kuficha baadhi ya ushahidi waliopata katika kamati ya Richmond, na kisha kukubali mjadala wa Richamond na Dowans ufungwe kihuni. Magamba ni wale wale. Nimetoka Kyela hivi karibuni wananchi wa kule hawamataki kabisa kwa sababu Mwakyemeb n mmoja wa wanahisa katika moja ya makampuni matona yanayonunua zao la Cocoa kwa kuwadhulumu wakulima wapiga kura wake kupitia kucheza na mizani ambapo Kilo 10 za Cocoa husomeka kama Kilo 7 tu katika mizani ya kampuni hizo.
   
Loading...