Live Kutoka Karimjee Hall: Kumuaga Bob Makani

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Naomba mlioko hapo mlete UPDATES!

Picha hizi ni kwa hisani ya Mjengwa Blog.

SAM_2458.JPG

SAM_2459.JPG

SAM_2460.JPG

SAM_2462.JPG

SAM_2467.JPG

SAM_2469.JPG

SAM_2464.JPG

SAM_2471.JPG

SAM_2487.JPG

SAM_2491.JPG

SAM_2483.JPG
 
Sometimes in our lives, we all have pain
We all have sorrow
But, if we are wise
We know that there's always tomorrow

Chorus:
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I,m gonna need
Someone to lean on

You can call on me brother when you need a hand,
We all need somebody to lean on,
I just might have a problem, that you'll understand
We all need somebody to lean on

Please swallow your pride, if Ihave things
You need to borrow
For no one can fill, those of your needs
That you won't let show

Chorus:
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I,m gonna need
Someone to lean on

If there is a load, you have to bear
that you can't carry
I'm right up the road, I'll share your load
If you just call me... Call me
If you need a friend...Call me
If you need a friend...If you ever need a friend
Call me...Call me...

Chorus:
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I,m gonna need
Someone to lean on
 
Mungu ni mwema na kazi yake haina makosa.
Tutakukumbuka daima mzee wetu,
we love bt mwenyezi Mungu kakupenda zaidi,

RIP KAMANDA MAKANI.
 
Mukama Bob ameacha values za uongozi ambazo Chadema lazima wazienzi.
 
R.I.P BOB MAKANI...! tulitamani uone chama chako kikichukua dola 2015. kazi ya mungu haina makosa!
 
R.I.P KAMANDA

Asante kwa mchango wako,tuta kumbuka sana.
 
JK ndie sio tuu anaongoza umati wa Watanzania katika heshima za mwisho za Bob Makani, pali pia ni JK ndiye aliyetoa PA inayotumika hapa!.

Kitendo cha heshima za mwisho za Kiongozi na muasisi wa Chadema kuagwa kwa kutumia PA ya Mwenyekiti wa CCM ni kitendo cha uthibitisho wa baadhi ya mazuri ya Kikwete!. Nilisema JK ni mtu wa watu!.

Matumizi haya ya PA ya JK pia ni uthibitisho wa political tolerance kuwa upinzani wa vyama sio uadui, Watanzani ni wamoja kwenye shida na raha.

Nawaombeni wapenzi wa Chadema wenye nia njema, lazima mtamshukuru JK hata kimoyomoyo tuu!.

RIP Bob Makani!.

Saa hii Freeman Mbowe anaongea atafuatiwa na JK!.
 
Mzee Ali Mohammed Nyanga Makani aka Bob Makani, Mwanamageuzi wa kweli, Mwanasheria mkongwe, mbobevu ni kioo na kielelezo kwa wanamageuzi wa kweli na wa kuigwa na wanamageuzi na wapinzani wa leo.
 
JK ndie sio tuu anaongoza umati wa Watanzania katika heshima za mwisho za Bob Makani, pali pia ni JK ndiye aliyetoa PA inayotumika hapa!.

Kitendo cha heshima za mwisho za Kiongozi na muasisi wa Chadema kuagwa kwa kutumia PA ya Mwenyekiti wa CCM ni kitendo cha uthibitisho wa baadhi ya mazuri ya Kikwete!. Nilisema JK ni mtu wa watu!.

Matumizi haya ya PA ya JK pia ni uthibitisho wa political tolerance kuwa upinzani wa vyama sio uadui, Watanzani ni wamoja kwenye shida na raha.

Nawaombeni wapenzi wa Chadema wenye nia njema, lazima mtamshukuru JK hata kimoyomoyo tuu!.

RIP Bob Makani!.

Saa hii Freeman Mbowe anaongea atafuatiwa na JK!.

Pasco! Slaa yupo?
 
Back
Top Bottom