Maswali na majibu kwa mawaziri bungeni hayana tija | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali na majibu kwa mawaziri bungeni hayana tija

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakageni, Jun 11, 2012.

 1. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  Kipindi cha maswali na majibu kwa mawaziri ambacho huanza hakina tija. Aidha hakifai kupewa airtime katika bunge. Sababu ni:
  1) Kuna muda mwingi wa kutunga 'uongo'.
  2) Maswali ya nyongeza hukwepwa kwani mawaziri hawajui wizara.
  3) Wabunge na wananchi wengi hawana interest na muda huo.
  4) Maswali hujibiwa na kuchapwa Dar (si na Waziri) halafu husomwa Dodoma (na Waziri).
  5) Mbunge anaweza sema eti 'swali langu namba 5 lijibiwe' na Waziri akasoma!
  6) Kuna maswali mengi tu ambayo wabunge huwauliza kwa njia ya simu au ofisini bila kuwekwa kumbukumbu.
  USHAURI:
  i) Kuwepo na kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa mawaziri, zamu kwa zamu! (kama PM-Pinda on Thursdays)
  ii) Mawaziri wajibu wakiwa kwenye nafasi zao! Kuokoa muda wa kutembea 'ili tuone suti zao'
  iii) Majibu yapelekwa kwa wenyeviti wa mtaa/kijiji chenye interest na swali husika.

  iv) Hii itaepusha kila mbunge kujiona anaweza kuwa Waziri!
  Nawasilisha kwa mjadala
   
Loading...