Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa pili wa rais Mohammed Aboud
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesema itawanyanganya vitambulisho vya Uzanzibari Ukaazi watu na wageni waliopewa vitambulisho hivyo...
Serikali kupitia wizara yake ya fedha hutangaza bajeti ya makisio ya mapato na matumizi kila mwaka wa fedha wa serikali.Hotuba hiyo ya bajeti huenda sambamba na mabadiliko bei ya bidhaa muhimu...
Masha: Vijana wengi hawaipendi CCM
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana, Lawrence Masha, amesema vijana wengi nchini hawataki CCM kwa sababu hawaoni kilichofanyika tangu...
1. Kodi zinapanda kila siku
2. Mfumko wa bei unatajwa kila siku bila kusema serikali itaudhibiti vipi (at 19% hii ni kiama)
3. Mishahara midogo
4. Utegemezi kwa wafadhili (Hivi baba unapanga...
Na Nape Moses Nnauye
Nilikuwa nikisikiliza Bunge na kusikia hotuba juu ya hali ya uchumi hapa nchini na nikajiuliza hivi hawa "watani" wetu wanaopita kuchangisha watu nchi nzima na kunadi kuwa...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
(CHADEMA)
JIMBO LA LUSHOTO
WILAYA YA LUSHOTO-TANGA
_____________________________________________
TAARIFA YA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA MLOLA...
Leo tarehe 13 June,2012 ni siku ambayo wanachadema na wakazi wa mkoa wa shinyanga hawatoisahau, siku ya mazishi ya kipenzi chao hayati Mohamed Ally Nyanga Makani.Ni siku ambayo ilikutanisha kada...
kutokana na taarifa za kamati mbalimbali zilizowasilishwa bungeni hivi karibuni kuonesha uozo mkubwa wa ufisadi wa mabilioni ya fedha katika wizara nyingi​ hazina sifa ya kuandaa bajeti...
Bila ugaidi na jinai kama biashara ya mihadarati midudu kama hii isingekuwepo. Sayansi ina utata. Inaweza kusaidia kukuza na kupunguza jinai kama inavyoonyesha kwenye ugunduzi wa gari hili lenye...
Wakuu
Nikirejea sticky thread ya marehemu mheshimiwa Regia nadhani pia nivema tukawa na thread yenye kuchangia maoni yetu kwa wizara mbalimbali ili nasi tusio na access na jukwaa la kusemea huenda...
I UTANGULIZI:
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu liweze kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013...
BAJETI YA TANZANIA HUANDALIWA WAKATI HAZINA HAINA HELA, NA HUWA HAITEKELEZEKI, NI BAJETI YA KISIASA ZAIDI KULIKO UHALISIA, PAMOJA NA KUSOMWA KWA MBWEMBWE LAKINI HAITEKELEZEKI. HII NI KUTOKANA...
By Dylan Stableford | The Lookout – 1 hr 34 mins ago
Egyptians shout anti-military slogans during a protest in front of the constitutional court in Cairo, June 14, …
Egypt's high...
Leo dodoma,
kaulizwa swali na mtangazji wa tbc1.
unaionaje bajeti hii.
kaisifia sana na kusema itasaidia sana wananchi na zaidi anaipongeza serikali kwa kutenga bilioni 500 za maji..
hilo cha...
ester bulaya wakati anahojiwa na TBC alikua akitamka neno TILIONI badala ya TRILIONI, mara ya kwanza nikadhani ulimi tu umeteleza lakini akawa anarudiarudia.
wakati naandika post hii lusinde nae...
Mhe Kiongozi wa Upinzani Bungeni, tafadhali kesho katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu muulize imekuwaje Mbunge toka Zanzibar (ingawa alishakuwa mbunge wa Mkuranga) ameteuliwa kuwa...
Wanajf mpaka sasa sijui huwa inakuwa maana serikali yetu inakuwa na matumiza ya hajabu
Hivi wizara ikipangiwa fungu fulani linalibaki uwa linaenda wapi?
Mwaka jana serikali ilitoa bugdet ya Tshs...
Mapambano yanaendelea. Hawa Nghumbi amekata rufaa dhidi ya ubunge wa John Mnyika. sasa ngoma mahakama ya rufaa.
Tausi Ally na James Magai | Mwananchi | 13 June 2012
ALIYEKUWA mgombea Ubunge...
Hakika serikali haimjali MKULIMA imemntengea asilimia moja ya BAJETI nzima.WANANCHI wanapaswa waamke wajue hii SERIKALI haiwatambui imewajali wanaoishi MIJINI.WANANCHI sasa jiandaeni mtakunywa...