Ndugu Wananchi,
Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, kwa kutujaalia uzima na kutuwezesha kumaliza nusu ya kwanza ya mwaka 2012 salama. Kwa...
Kuna taarifa za serikali zinasema kwamba Dr.Ulimboka sio mtumishi wa serikali,swali langu je ni kweli kwamba jamaa sio mtumishi wa serikali?na je kama sio muajiriwa wa serikali alikua anashiriki...
Wana JF nipo hapa Stand kuu(Tanga)naangalia Bunge,katika kuhitimisha Hoja,Naona Waziri mwenye dhamana (Celina Kombani)anasema Mbunge wa Nkasi amechora mtumbwi kuonesha hisia za matatizo katika...
Nimekuwa nikifuatilia sana mjadala wa kikao cha bunge kinachoendelea hivi sasa bungeni kwa kweli inatia huzuni kubwa kwa spika,naibu spika mwenyekiti Jenista muhagama na bwana mabumba kweli nyote...
The Associate Press reports that, French investigators searched former President Nicolas Sarkozy's home and office on Tuesday as part of a probe into suspected illegal financing of his 2007...
UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa Mbeya, imeomba serikali kuwapatia haraka iwezekanavyo madaktari wengine kuja kuziba nafasi zilizoachwa na madaktari 72 waliotimuliwa hivi karibuni.
Mkurugenzi...
Ni siku nyingine tena, mwenzetu Mh. Mabumba alipokuwa amekalia kiti cha Bunge alijitelezesha na kujiingiza katika tope lililomchafua na baadaye akashindwa kutoka humo hadi watani zetu wakaanza...
Ndg wanaJF ,
Ni wakati mzuri sasa baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 na mwaka 2010 ambazo zilimweka kikwete madarakani kwa tiketi ya CCM, tukaangalia nini kilimweka mwaka 2005 na nini kilimweka...
MBILINYI AFANANISHA WALIOMTEKA NA JANJAWEED, WAZIRI NAGU AINGILIA KATI
KITENDO cha kutekwa nyara, kuteswa na kisha kuumizwa mwili mzima, kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk...
Taifa la Burundi limemtunukia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere Tuzo la juu kabisa ambalo Burundi hutoa kwa watu mbali mbali kutokana na mchango wake katika kuleta uhuru na baadaye kwa...
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika Hospitali. Imebainika kwamba utoaji...
Heshima kwa wana JF wote.
kiongozi bora nani awezaye kumjua kila siku huku tunakukata na kero za A kesho B ni wapi tunapofanyaga makosa kuwapa madaraka na end of the day inageuka kuwa hasira na...
Nilisikitishwa sana na udhaifu wa M/kiti wa bunge wa kikao cha jana jioni jinsi alivyokuwa mshabiki wa vituko bungeni hadi kupelekea kushindwa kuongoza kikao. Leo hali hii imejitokeza tena kwa...
I've very few minutes to write the lasting message to ALL Tanzanians especially YOUTH.
Girls & Boys wake-up, let us join the allies of our fellow Young Parliamentarians showing concern on Gas &...
Orodha ya watu ambao walifanya mambo mabaya Tanzania na wakatoroka au kutoroshwa:
1. Chada
2. vithlani
3. Balali.........Endelea kutaja. Labda Msangi WAMEM BALALI?
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!!
Mama Kilango anajiamini nini wakati...
Madaktari wamegoma ,watz wamekufa lawama viongozi
Kwenye mahospitali hakuna vifaa vya kutosha kama TC scan
WALA VITU VINGINE VYA DISAIGN HIYO LAWAMA VIONGOZI...
TUNA LIBARAZA LIKUBWA LA MAWAZIRI...