Anne Kilango ajitangaza kuwa 'mbunge wa maisha' wa Same Mashariki

bangusule

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
291
190
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!!

Mama Kilango anajiamini nini wakati hakuna cha maendeleo alichofanya ktk jimbo lake la uchaguzi?
 
huyu mama zamani alikuwa ananishtua sana nilikuwa namuaminia sana kwa upambanaji wake lakini siku hizi duu labda amchukue na mumewe wakafanye kampeni
 
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!!

Mama Kilango anajiamini nini wakati hakuna cha maendeleo alichofanya ktk jimbo lake la uchaguzi?
Kabla hajaamua kubwabwaja ovyo, angemuuliza Mongera kilichompata Ukerewe pamoja na kujiamini kwake.
 
akumbuke mzee John malecela mbunge wa Mtera zaidi ya miaka 20 lakini alingoka mwenyewe. nadhani mwaka 2015 jimbo litachukuliwa na CDM
 
asiwasemee wapiga kura wake. hajui walichonacho mioyoni mwao. kama wana same wameridhika na utendaji wake - she is saved. lakini asifanye wana same ni mandondocha, hawajui kinachoendelea ktk dunia hii. kuna mbunge wa sisiem jimbo la mbulu (enzi hizo) aliropoka hivyo hivyo, leo hii yupo wapi? alipigwa chini kama mzigo wa mwizi.
achana na kura ya siri. ni nouma mazee!
 
Hivi anataka kutuaminisha kuwa wana same bado wanajua mwl. Nyerere ni rais wa Tanzania! asitukane ndugu zetu.
 
akumbuke mzee John malecela mbunge wa Mtera zaidi ya miaka 20 lakini alingoka mwenyewe. nadhani mwaka 2015 jimbo litachukuliwa na CDM

loo usinikumbushe huko mtera si ndo Mr. Matusi (lusinde) alimwangusha macelela
 
Anajivunia kiwanda cha Tangawizi.

hicho kiwanda kimeajiri wananchi wangapi? Wanafaidika kiasi gani na Tangawizi? Sawa ni jambo jema kuanzisha firm ambayo inasaidia kwa kiasi fulani kuleta ajira. Je kipato cha mwanachi wa same kinaendana na hali ya maisha ya sasa. Lakini inasaidia nini kama bungeni ameshindwa kuishawishi serikali kuthibiti mfumuko wa bei?
 
akumbuke mzee John malecela mbunge wa Mtera zaidi ya miaka 20 lakini alingoka mwenyewe. nadhani mwaka 2015 jimbo litachukuliwa na CDM

Dawa ya Kilango ni kupigwa chini 2015 aende kwa mumewe wakatafute mtoto. Maana tokea wafunge ndoa sijasikia amebeba mimba.
 
Back
Top Bottom