Sifa za kiongozi bora tujuzane jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za kiongozi bora tujuzane jamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by telitaibi, Jul 3, 2012.

 1. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Heshima kwa wana JF wote.
  kiongozi bora nani awezaye kumjua kila siku huku tunakukata na kero za A kesho B ni wapi tunapofanyaga makosa kuwapa madaraka na end of the day inageuka kuwa hasira na kero kwetu yataisha lini hala ya kusalitiana hebu tuambiana kukwepa kero na hasira na vichefuchefu vya usaliti tuambiana kwajili ya future ati.
  Karibuni sana
  tujali mada na si kupotezea kwa kuweka vijimambo
   
 2. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  karibuni nimekaa mkao wa kupata hizo sifa
   
 3. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Uongozi bora ni kuwaunganisha watu,kuwashirikisha;kwa mfano kama gari imekwama kwenye matope,kuwaambia wote waje upande mmoja,wasukume. Yaani watu wengi wanaweza kufanya kazi vyema kuliko watu kidogo lakin lazima wafanye coordianation nzuri,wasifanye kazi kwa kupingana.
   
 4. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante mkuu
   
Loading...