hivi tuna watawala au viongozi tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi tuna watawala au viongozi tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by harakat, Jul 3, 2012.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Madaktari wamegoma ,watz wamekufa lawama viongozi
  Kwenye mahospitali hakuna vifaa vya kutosha kama TC scan
  WALA VITU VINGINE VYA DISAIGN HIYO LAWAMA VIONGOZI...
  TUNA LIBARAZA LIKUBWA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU AMBAO
  TUNATUMIA FEDHA NYINGI KULI RUN HUU NI MZIGO LAWAMA VIONGOZI
  waalimu wana mgomo baridi,wanafunzi wanafeli lawama viongozi
  Hawapewi mshahara wa kutosha hata siku kumi lawama viongozi


  Huu wimbo unaweza ishaje maana haieleweki kama kweli shughuli hii inatakiwa iwe hivi au la
  tufanyeje watz maana hatuwezi kuvumilia kwa kulaumu tu
  nawasilisha
   
Loading...