The Malawi-Tanzania Boundary Dispute Journal Article published in 1973

Nakumbuka enzi hizoooooo tukiwa JKT kwenye mchamchaka maafande walituimbisha wimbo huu kisa mgogoro wa mpaka:
Banda wa Malawi,
Atuvalia ngozi ya simba,
Kututishia watanzania,
Hatutaki,
Hatutaki.
Wazee wenzangu mnaukumbuka? Hili la mpaka na Malawi halikuanza leo ila sasa ukichanganya na oil/gas discovery mmmmmhhh.
Mi nashauri tulipeleke kwenye mahakama za kimataifa na hukumu iki
tolewa tuiheshimu kama ilivyokuwa kwa kesi ya Eritrea/Ethiopia na ile ya Nigeria/Cameroon majuzi hapa.
 
Hii kitu ni kama imekula kwetu. Kumbe hata kwenye Hansard kitu kimetulia! Basi tena lake nyasa!
 
Hii kitu ni kama imekula kwetu. Kumbe hata kwenye Hansard kitu kimetulia! Basi tena lake nyasa!

kwanini siku walikuwa hawasemi ukweli ? inashangaza sana( haiwezekani mpaka ukawa wa kishenzi namna hii...yaani wale wanaoishi ufukweni wayatazame tu maji kama vile hawajui matumizi yake...waingereza feki sana...)

huyu chief Mhaiki alikuwa fit sana kuargue, check sehemu hii ya huyu chifu
" Chief Mhaiki argued for the revision of the boundary on functional grounds: he claimed that with approximately 6oo, ooo people living along the Tanganyika shore, and dependent on the Lake for cooking and drinking water and for food, it was anomalous that the Government should have no rights over the Lake. He also alleged that as a result of flooding in I956, following the construction of the Kariba Dam, Tanganyikan houses and plantations were inundated and the owners had been unable to claim compensation; and that any future moderni-sation of lake fishing - for example, through the use of motor boats or by the formation of co-operative societies - was dependent on the permission of the Nyasaland authorities. Although several other members of the Council spoke in support of the motion, the majority opposed it on the general grounds of pan-African solidarity. They recognized that any claim would be likely to provoke a counter claim and that, in any case, it would seem inconsistent to provoke a boundary dispute with Nyasaland while pursuing a policy of Federation in East Africa.
 
[MENTION]Ndokyo[/MENTION], journal siyo hansard

Hiyo kazi ilichapwa katika JMAS ni si hansard ya BUNGE la JMT au Mahakama Kuu.
 
Ndio maana tunatakiwa kuwa makini sana kwenye issue za mipaka ku avoid vita visivyo na mpango.
 
Ndio maana tunatakiwa kuwa makini sana kwenye issue za mipaka ku avoid vita visivyo na mpango.

Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.
 
Hakika nimekubali na sasa nimefahamu nini kimekuwemo ndani ya mgogoro, hii mipaka ya wazungu nayo itatumaliza eti. Hivi lake shore kwa maana ya ufukwe ni bila maji au maji na kina fulani? nisaidieni hapo maana inasema the boundary is the lake shore>
 
Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.

wezi April wakati Bingu alipofariki nilikuwa Malawi, kwa kweli hii issue ni hot kwao kwani hata wananchi wao wanaamini kuwa ziwa lote lao. Walimlaumu Bingu kwa kutoshughulikia mamabo mengi ikiwa ni pamoja n a hili na kusema kuwa afadhali anakufa, by then ilikuwa tetesi hivyo wakafanya maombi kuwa tetesi hizo ziwe kweli. Hoja yao ni simple kwamba jina la ziwa ni lake Malawi, na kuniambia kuwa letu sisi ni lake Tanganyika wakidai kuwa ni letu peke yetu hivyo Zambia na Zaire / Kongo hawana lao ktk Tanganyika labda kwa huruma yetu. Hivyo tuwe makini sana kwani wanaungwa mkono na Waingereza ambao ni WAHUNI. Kusogeza jeshi na kuongea na akina Zuma na Rais wa msumbiji itasaidia sana upande wetu hawa wanawali wasituchezee haiwezekani tukose dagaa watamu kwa sababu ya uwendawazimu wa wazungu. Ndg zetu wa Songea wana haki kabisa ya kutumia ziwa hilo bila upuuzi wa wamalawi hawa.
 
Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.

Mwezi April wakati Bingu alipofariki nilikuwa Malawi, kwa kweli hii issue ni hot kwao kwani hata wananchi wao wanaamini kuwa ziwa lote lao. Walimlaumu Bingu kwa kutoshughulikia mambo mengi ikiwa ni pamoja n a hili na kusema kuwa afadhali anakufa, by then ilikuwa tetesi hivyo wakafanya maombi kuwa tetesi hizo ziwe kweli. Hoja yao ni simple kwamba jina la ziwa ni lake Malawi, na kuniambia kuwa letu sisi ni lake Tanganyika wakidai kuwa ni letu peke yetu hivyo Zambia na Zaire / Kongo hawana lao ktk Tanganyika labda kwa huruma yetu. Hivyo tuwe makini sana kwani wanaungwa mkono na Waingereza ambao ni WAHUNI. Kusogeza jeshi na kuongea na akina Zuma na Rais wa msumbiji itasaidia sana upande wetu hawa wanawali wasituchezee haiwezekani tukose dagaa watamu kwa sababu ya uwendawazimu wa wazungu. Ndg zetu wa Songea wana haki kabisa ya kutumia ziwa hilo bila upuuzi wa Wamalawi hawa.

ngoja nitafute cheti changu cha JKT tayari kwa lolote ambao hamkupitia jitayarishe kwa tuition ya BURE toka kwangu tayari kuelekea Songea kul;inda heshima ya nchi
 
Nina wasiwasi na researcher alieandika hiyo article, inawezekana alikua biased upande wa Malawi. Hajazungumzia kabisa kipindi ambacho mpaka uliwahi kuwa defined kupita katikati ya ziwa chini ya utawala wa mjerumani. The biggest point i got from it is that Nyerere said, the transferring of the boarder from the middle of the lake to the shore done by the british was illegal in the sense that the britons had no such capacity in the trustee territory of Tanganyika. They were supposed to take care of the territory and not to do activities going as far as changing of boarders!
 
Kwa ajili ya kulinda maisha na maendeleo ya watanzania waishio na kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutegemea ziwa nyasa ilikuwa ni muhimu sana hadi muda huu tunapojadiliana hapa JWTZ ingekuwa imekita kambi katika mpaka wetu na malawi.
Mazungumzo yafanyike lakini wakati huo kila nchi ikiwa inaheshimu kutokuingia eneo la nchi nyingine hata kama wanadhani ni lao.
Vinginevyo JWTZ ilitakiwa kufanya kazi yake na kuwasukuma nyuma hao watafiti wasithubutu kugusa eneo letu.

Ndugu yangu Mwita Maranya unachosema ndivyo tunapaswa kuwa tumefanya,lakini sidhani ni kwa utawala huu tutafanya hivyo. Watawala wanaanza kuangalia watafaidika vipi binafsi na jambo hili. Joyce Banda atatusumbua sana,na kwasababu tumeisha kuwa taifa la hovyo niko na wasiwasi na maamuzi wa watawala wetu dhaifu!
 
seems like hatuna chetu hapo. ni hot air tu hatuna basis za maana..tukileta mchezo wangereza watatufanyia kama walivomfanyia Gadafi. mi nafikiri kama wamalawi wakikataa kutupa walau kms kadhaa baada ya fukwe, ujeuri pekee tunaoeza fanya ni kuu-divert mto Songwe na kumaliza maji yake yote humuhumu kwa kilimo cha umwagiliaji na kujenga embankment kubwa sana maji yasiende ziwani tena...hiyo ndo dawa na jirani mkorofi.
 
I like JF this is brilliant article.
Sasa wabunge wetu vilaza sana hata kafanya utafiti hawawezi kazi kula rushwa na mipasho. Kwa hili la mipaka naomba tushikamane tuache siasa zetu za ajabu tuanze kupamabana kulinda mipaka yetu hawa majirani wasitutishie nyau. Membe anatakiwa aache lugha za kubembeleza amwambie Malawi akisogelea kwenye mpaka wetu ndani ya maji ni vita na kama mafuta yatapatikana na yapo kwetu wakachimba well yakamiminika kwao ni vita hakuna lugha za kubembelezana kwenye mali asili. Hatuwezi kutafuta suluhu kwenye mali yetu na haki yetu.

Naomba Watanzania wote tuungane kwa hili mwenye data zaidi amwage na tumshinikize Spika afungue mjadala wa kibunge tuanze kujadili hili ili tujue hatima ya mpaka wetu sasa.

Chief Mkwawa
Tutailinda Tanzania yetu kwa gharama zozote zile. Ni hili ni wajibu wetu wote.
 
Ndokyo, journal siyo hansard

Hiyo kazi ilichapwa katika JMAS ni si hansard ya BUNGE la JMT au Mahakama Kuu.[/QUOT

utafiti ulifanya ukihusisha pia hansard...mf chief Mhaiki anapoargue kuhusu watanganyika wanaoishi karibu na ziwa ,hicho kipande ni hansard extract...umeipata hiyo?
 
Nina wasiwasi na researcher alieandika hiyo article, inawezekana alikua biased upande wa Malawi. Hajazungumzia kabisa kipindi ambacho mpaka uliwahi kuwa defined kupita katikati ya ziwa chini ya utawala wa mjerumani. The biggest point i got from it is that Nyerere said, the transferring of the boarder from the middle of the lake to the shore done by the british was illegal in the sense that the britons had no such capacity in the trustee territory of Tanganyika. They were supposed to take care of the territory and not to do activities going as far as changing of boarders!

Malawi chini ya utawala wa mreno mpaka kati yake na Tanganyika, uligawa ziwa nusu au ufukwe wa ziwa upande wa Tanganyika? Au niseme hivi makubaliano ya Berlin conference ambayo yalikabidhi Ureno Malawi yanatambua mpaka upi ,wa ufukweni au wa kati ya ziwa?
 
aafu membe ndo anataka kuwa rais wetu na kauli dhaifu namna ile, what a joke! Hawakuona mwenzao museveni? Mbona wanakuwa watu wa ajabu kiasi hiki? Kweli watz walichagua nazi badala ya kiongozi
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom