Kagasheki hana ubavu wa kuisafisha kadhia hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagasheki hana ubavu wa kuisafisha kadhia hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Aug 14, 2012.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Balozi Kagasheki amewafukuza baadhi ya watendaji wa wizara yake kwa kadhia ya usafirishaji nje ya nchi wanyama hai.

  Kwa maoni yangu mtu pekee ambaye angeweza kufanya hivyo ni Rais, na siyo sasa bali miezi kadhaa nyuma.

  Wahusika wakuu ambao walitakiwa wawe wameshafunguliwa mashitaka na kufungwa kwa uhaini siku nyingi ni pamoja na wafuatao:
  - watendaji wakuu wa idara ya usalama wa taifa
  - watendaji wakuu wa wizara ya ulinzi

  Wale wote walionufaika kifedha walitakiwa kuwa wameshafilisiwa siku nyingi.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  So kwa mtazamo wako ni bora angewaacha tu tuendelee kimazabe mazabe

  Nilidhani utatumia mfano huu bora wa kagasheki kumuonyesha JK hata yeye na mawaziri wake wanaweza
  Lakini sasa unamdiscarage kagasheki hata kwa kizuri kidogo alicho thubutu
   
Loading...