Operesheni Sangara yahamasisha Wananchi kushiriki sensa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Pamoja na agenda ya kujenga mtandao wa CHADEMA kuanzia ngazi ya Mabalozi na Vitongoji, Operesheni Sangara inayoongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekuwa pia ikiwahamasisha Wananchi kushiriki zoezi la sensa, kujiandikisha ili kupata Vitambulisho vya Taifa.

CHADEMA pia imekuwa ikitumia mikutano hiyo kukusanya maoni ya Wananchi/Wanachama wake kuhusu Mabadiliko ya Katiba. Tembelea CHADEMA tv - YouTube kwa taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom