Mwitikio wa Haraka baada ya Ajali/Maafa ya Raia wao: Tujifunze nini Kenya na Rwanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwitikio wa Haraka baada ya Ajali/Maafa ya Raia wao: Tujifunze nini Kenya na Rwanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Aug 11, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Tuombe Mungu yasitokee, ila nimesisimkwa na jinsi nchi hizi zilivyoweka kando ukiritimba na kurespond imedietly: sisi maskini boat tu hapo tulitoka jasho kuruhusu helikopta na vifaa vingine vya public: Hebu tuone na tuzungumzie sera zatu za ndani na za nje kuhusu maafa, utekelezaji wake na ukiritimba wetu na tufanye marekebisho haraka tusije aibika:

  Hii ni ajali ya Shinyanga raia wa Rwanda:
  The Government of Rwanda sent the helicopter and private cars for the further assistance and to help those who were injured. Amos burial held at Kigoma,in Tanzania and Ephraem and Filbert held in Kigali Rwanda on the 12 May 2011. [​IMG]
  Source: ADVENTIST MOURNING FOR AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR MEMBERS.(EPHRAIM,FILBERT & AMOS) « I warmly welcome you to the official Independent News Center for Seventh Day Adventist Music Ministry


  Hii ni Ajali ya hivi punde raia wa Kenya hapo Wami:

  1st group of 32 Kenyans in road mishap arrive in Nairobi - YouTube

  Critically injured and departed bodies arrive in Nairobi - YouTube

  Nisingependa kuonyesha picha za maafa ambayo yanatokea hapa kwetu tena mengine jirani kabisa na vyombo vya usalama na uokozi, tunajifunza nini wa-Tanzania, hawa wenzetu wako mbali but timely reponce with maximum resources possible.
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nadhani sio TZ inaweza kujifunza nini, bali Rwanda na Kenya na majirani zetu wote ndio wanapaswa kuja kujifunza TZ. Kwa umasikini wetu, hatuna uwezo wa kufanya wanayofanya wenzetu, lakini tumejaaliwa na kipaji cha jawabu za haraka haraka kwa kila tukio na janga:
  1. Kukanusha
  2. Sisi wa Waungu wa kunyesha mvua (JK na umeme) na kuzuwia upepo (Hamad Massoud na ajali za boti).
  3. Mipango iko njiani.
  4. Uchambuzi yakinifu unafanywa ili wahusika wawajibike
  5. Tutahakikisha kama hili halitokei tena.
  50. :blabla: :blabla: :blabla:
  75. :argue: :argue: :argue:

  100. :blah: :blah::blah:

  Nawaje wajifunze kutoka kwetu, kwa nini kuumisha kichwa na kujitia hasara wakati Sababu Tunazo.
   
Loading...