Hivi CHADEMA wanarecruit vipi wabunge wao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi CHADEMA wanarecruit vipi wabunge wao?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Escobar, Aug 13, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Honestly sehemu kubwa ya wabunge wa CDM imeshiba vibaya kwa kujenga na kuwasilisha hoja zenye mguso wa kipekee kwenye jamii. Ni dakika chache tu Mh. Wenje alikuwa anamwaga facts kuhusu elimu yetu ya shule ya msingi kuwa mtaala unaelekeza kuwa lugha ya kufundishia ni kiswahili wakati wakati huo viongozi wote wa serikali wasomesha watoto wao kuanzia nursery kwenye shule zinazotumia kiingereza kama lugha ya kufundishia! Watu wamekuwa wakiomba mabadiliko katika hili lakini serikali inakataa kuwa kiswahili ndio lugha ya taifa hivyo lazima kiendelee! La pili alilonikosha zaidi ni kwanini wanajeshi wanapewa nafasi ya kununua vitu kwenye maduka yao ambapo wanapata punguzo la bei kwa kuondolewa baadhi ya kodi na wao wanamshahara mikubwa kuliko walimu, kwanini basi na walimu wasifanyiwe hivyo ili nao wapate japo vifaa vya ujenzi kwa bei poa?

  This makes sense for sure!
   
 2. K

  Kiwera Mikaeli Senior Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndugu,

  Katika uchaguzi wowote ule ukikosekana rushwa, udini, ukabila na ufisisadi lazima CV ndizo zitakazo tawala. Ninavyofahamu mimi katika CHADEMA hakuna vyote vilivyotajwa hapo juu. Hivyo sifa zilizoko kwa CV ndizo huchukua mkondo wake. Ukisikia yakitamkwa na akina Magamba ni POROJO tu kuvuruga akili za Watanganyika kama ilivyozoeleka.

  Hongera Wanachadema na Uongozi wa CDM kwa Ujumla.

  Imani yetu hamtotuangusha.
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  majini na mashetani kisiwe kigezo cha kumsaidia mtu kuongoza nchi matokeo yake wote tumeyaona umefika wakati tumuweke mungu mbele kuongoza nchi hii kama marais watatu waliotangulia walikuwa wacha mungu.
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Watu wa mwanza ndio wanamfahamu huyu kijana, huyu alikua hastahili kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
   
 5. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Chadema wanafanikiwa kwa sababu ya ubwege wa CCM.

  Huwezi kuwa na chama chenye umri wa zaidi ya miaka 30 lakini kikawa na wabunge wanaosoma kwa taabu.

  Chama kisichokuwa na uwezo wa kutafiti mambo kabla ya kuamua.

  Chama kinachotumia uongo kikidhani ndo propaganda.

  Aaah! na mengine ya hovyohovyo!
   
 6. m

  majebere JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  hivi wewe umevuta ya wapi leo? Naona umepagawa kabisa. Huu upuuzi naona unasambaza kwenye kila topic.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Kwanini unataka kujua recruitment policy ya CHADEMA? CCM je? Wana hadi SHINA lakini wanakutolea FISADI

  Lakini haujawaona kwenye Kashfa za UMEME, za BANGI, za MAFUTA ya GENERETA

  * RAIS KIKWETE si alikimbiza wanae toka ARUSHA hadi MALAWI? sasa tunagombana kuhusu ZIWA NYASA... hao watoto

  Nani atawafuata???
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ukisikia yalaaa! ujue limekupata
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe unayeona huu ni upuuzi ndiye uliyevuta cha meru
   
 10. T

  Tenths Senior Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Siyo siri Mh. Wenje ametoa mbadala wa kinachoweza kuwa suluhisho la madai ya walimu mbali na kuangalia ongezeko la mshahara pekee.
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,758
  Likes Received: 6,060
  Trophy Points: 280

  The man is really a great thinker. Ni wachache tuliokuwa na mawazo kama haya japo hii issue ya kundi mojawapo katika jamii (wanajeshi) kupata unafuu wa huduma na bidhaa ikiwemo kusafiri bure kwenye public transport wakati huo huo wakipata mishahara mikubwa imekuwepo kwa muda sasa.

  Naamini hili ni wazo zuri sana kwa CCM kulifanyia kazi ili kumaliza malalamiko ya walimu, madaktari, na makundi mengine. Asante sana Mh. Wenje.
   
 12. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,926
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  walimu wanahitaji motisha ili elimu ya wadanganyika isiendelee kuyumba kwa kiwango cha sasa.
   
 13. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jifunze kuwasikiliza hata hao unaoisi wamechanganyikiwa au wamevuta wanakuwaga na points muhimu wakati mwingine
   
 14. t

  thatha JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wenje ni fisadi wa elimu. Ana kesi ya kujibu kwangu mm mkazi wa jimbo la Rorya, CV yake inaonesha alisoma shule ya sekondari SHIRATI wakati mimi nimezaliwa pale na hakuna shule kama hiyo Katika Wilaya ya Rorya, wapambe wake mpelekeeni taarifa ajitokeze anijibu, na akiona nimemdhalilisha na aende mahakamani
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ukipenda chongo huna kengeza.
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa. Hilo siyo suala la Serikali tena , Chama cha walimu kinapaswa kujibu hilo, Fedha ambazo huwakata wanachama wake zinakwenda wapi? si zingefungua miradi ambayo walimu wangejipatia bidhaa kwa bei nafuu kama wanajeshi?
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Tunaweza kufikiri kuwa matokeo mabaya ya mitihani ni walimu kukosa morali ya kufundisha,la hasha. Uwezo wao pia wa kuwalisha wanafunzi kile wanachokifahamu ni mdogo sana. Mimi nafikiri badala ya kuona kuongeza posho kama suluhu, ni bora na mfumo mzima wa kuwapata walimu ubadilishwe na kuachana kabisa na kuwajiri watu ambao walishakata tamaa ya kusoma matokeo yake ni kwenda kushinda kwenye pombe za kienyeji.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Huyo Kiv ni muhuni tu hana lolote. Hivi anategemea nchi iongozwe na padri kweli? au nchi iongozwe na mmliki wa kasino.
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Teh teh tehe, Mbona unajihami kwani nani alisema CDM kuna hayo uliyoyataja? si unajipendekeza mwenyewe kujikingia kifua kabla hata ngumi kurushwa. Hakina CDM ni chama cha kidini, ukabila na hili nalo tuliongezee(chama) cha mahaba. Hivi kwa nini wabunge wote wanawake kupitia CDM wana sura nzuri sana? Tuseme hiyo ni sifa mojawapo ya BAVICHA? Hapa itabidi mbowe atueleze vizuri kulikoni? Nina wasi wasi , labda ili mwanamama kuwa mbunge kupitia CDM ni lazima kwanza kutakaswa na Mkuu wa kaya.
   
 20. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Mwache tu si kosa lake ngoja tumchunguze ndio tutoe kauli yenye support ya data!
   
Loading...