Viongozi wa Vyama na Serikali Wanaogopa Uchawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Vyama na Serikali Wanaogopa Uchawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tatanyengo, Sep 22, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kauli ya mh. John Pombe Magufuri aliyoitoa hivi karibuni kwamba haogopi kurogwa hivyo ataendelea kufanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za nchi ni kauli ya kushtua. Nasema ni ya kushtua kwasababu pengine magufuli amewakilisha kile kilichomo kwenye mioyo ya viongozi wetu (wengi) na hivyo wanashindwa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa kwa hofu hiyo ya kulogwa.

  Naye Josephine Mushumbusi ambaye ni mke/mchumba wa Dr.Slaa amefichua siri kwamba kuna mpango wa kikundi fulani hapa nchini kuwa kina mpango wa kumuua Dr. Slaa kwa uchawi au kwa kumpa sumu inayoua taratibu.

  Kama viongozi wetu watazama kwenye hofu ya kulogwa basi suala la maendeleo nchini Tanzania litakuwa ni ndoto.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  Huwa siamini kuhusu uchawi
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hiyo ndo bongo tambarare, kama kiongozi anaimani kuwa uchawi unaweza kufanya kazi basi ni hatari na aibu kwa taifa.

  Kaaaaz kweli.
   
Loading...